Benki gani nzuri kufungulia akaunti ya biashara/kampuni

Jun 26, 2012
39
10
Msaada wandugu, ni benki gani nzuri kwa ajiri ya kufungulia akaunti ya biashara/kampuni ukizingatia mambo yafuatayo,
1. huduma nzuri kwa wateja
2. mikopo unapopata tenda
Updates
Naomba kujuzwa zaidi kuhusu huduma za barclays, equity bank na KCB.
 
Dah naona benki zote karibu zimetajwa hapa meaning bank yeyote ni nzuri relative to a specific huduma au ofa

Ingependeza kama ukiitaja benki husika basi na utupe japo kwa kifupi 'uzuri' wa huduma yao na kwamba kwa nini unapendekeza

Asanteni
 
uliza "bank gani ni ya uhakika" kwa sasa bank nyingi za tz hatujui siku wala saa
 
Equity Bank ndo mpango mzima wana masharti nafuu ya mikopo, mikopo unapewa on time hamna zile za kubembeleza Maloan officer ka NMB na CRDB, unaweza usiwe na collateral write up yako ikakusaidia, ka una biashara watakupa mkopo na utafundwa au to improve your business, ka ni MFANYAKAZI na net salary yako ni Kuanzia 500,000 unaweza pata hadi 10 million, afu wanafunga saa 11 jioni customer care Yao ni Nzuri kiukweli
 
Nakubaliana na hizo bank walizokutajia ila kama wewe ni mfanyabiasha biashara yako ni ya namna gani?Kwani bank nyingi hazina matawi mikoani ama Arusha,Moshi na Mwanza
 
:A S cry::A S cry::A S cry::baby::loco::director::director::director::second:zinazopatikana mikoani ndiyo nzuri.
 
BankABC bwana hukuwepo juzi National Stadium walifanya mambo makumbwa...maandalizi yale yanaonyesha hakika wako smart...toto la simba simba!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Equity Bank ndo mpango mzima wana masharti nafuu ya mikopo, mikopo unapewa on time hamna zile za kubembeleza Maloan officer ka NMB na CRDB, unaweza usiwe na collateral write up yako ikakusaidia, ka una biashara watakupa mkopo na utafundwa au to improve your business, ka ni MFANYAKAZI na net salary yako ni Kuanzia 500,000 unaweza pata hadi 10 million, afu wanafunga saa 11 jioni customer care Yao ni Nzuri kiukweli

Ipo wapi hyo bank? Nataka nichukue kama 50m hivi.
 
Crdb kuna uswahili gani? napenda kufaham..maana nilitaka kwenda huko.

Customer care pale ni zero... Unaweza kaa 1hr pale unasubiri huduma ambayo ingekuchukua 10mins kwenye mabenki mengine sina hamu na hiyo bank plus walishaniibia pia pesa zangu
 
Back
Top Bottom