Benjamin Willium Mkapa Olympic Stadium?

Genekai

R I P
Feb 9, 2010
12,517
4,987
Jamani nilikuwa nazurura kwenye net nikakutana na Jina hili;-
Benjamin Mkapa National Stadium is a multi-purpose stadium in Dar-es-Salaam, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania"]Tanzania[/ame]. It is currently used mostly for football matches. It currently holds 60,000 people. The stadium opened in [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/2007"]2007[/ame]. The structure cost [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzanian_shilling"]TZS[/ame] 56.4bn/-. It was constructed by the Beijing Construction Engineering Company Limited. Tanzania contributed [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzanian_shilling"]TZS[/ame] 25bn/- and China donated the rest. The Complex is according to the [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/FIFA"]FIFA[/ame] and [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Olympic_Games"]Olympic[/ame] Standards. It replaced the William Mkapa Stadium as the national stadium. Ni uwanja wa 147 duniani ukiwa na uwezo sawa na uwanja wa lake Tanganyika Kigoma( [ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Lake_Tanganyika_Stadium[/ame])
Benjamini Mkapa National Stadium Former names National Stadium Location Dar-es-Salaam, [ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Tanzania"]Tanzania[/ame]

[ame="http://en.wikipedia.org/wiki/Benjamin_Mkapa_National_Stadium"](http://en.wikipedia.org/wiki/Benjamin_Mkapa_National_Stadium[/ame].)
Sasa najiuliza je watanzania wanafahamu kuwa FIFA inautambua huu uwanja kwa jina hili au ni yaleyale tu ya UWANJA MPYA? Na kama ni hapana kwanini? Na ni kwanini FIFA wasielezwe kuhusu jina halisi ?
 
Benjamin Willium Mkapa Olympic Stadium?

Mkuu, au Kiingereza kinakupiga chenga? Kweli makosa yapo ila na wewe umeweka yako. Au ni wewe umeandika kwenye Wikipedia? Hakuna sehemu wameandika hivyo kuwa ni Olympic Stadium.

Mods, pelekeni kwenye MAJUNGU hii habari.
 
Back
Top Bottom