Kaniki1974
JF-Expert Member
- Dec 2, 2008
- 352
- 22
- Thread starter
- #101
JF nini kumetokea??
takribani Miaka 2 iliyopita nilimtetea sana Mkapa ,humu ndani waumini wengi walinishambulia sana ati sikitakii kizazi cha watanzania yaliyo mema kwa kumtetea fisadi na tena hadi wakuu wakafikia kufananisha jina hili langu na la mkapa .
Sasa leo nauliza nini kinatokea? Siamini kuona watetezi wameongezeka kiasi hiki.
Na atatetewa zaidi kadri siku zinavyokwenda. Penye ukweli uongo hujitenga.