Benjamin William Mkapa Mmakonde asiye na (vision)

usivyo na akili unawatukama na watanzania wenzeti wamakonde kwa sababu tu ya mkapa wamekukosea nini? huoni kwamba wewe ni mbaguzi na mkabila? Mkapa ni mmakua wawabeza na kuwapuuza ninii wamakonde?

hili limekutach sana,au na wewe ni mmoja wa vifisadi vyetu
 
lakini mkuu ebu fikiria kidogo
kuna kitu kasema pale juu kuhusu jangwani mkapa aliwaita wapinzani vikokoto,kwa mtazamo wangu hawa marais wetu wa africa hawafikirii,kwa sababu alikuwa rais wa wote lakini leo anawatukana tena,unaionaje hiyo?

kama ni marais wa wote mbona tunawatukana wana kichwa cha nazi na wao hawalalamiki kwa matusi yetu kwa hiyo vikokoro ndiyo imekuuma siyo....matusi mangapi tumemtukana kikwete,nyerere, mkapa, mwinyi hapa na wametuacha na uhuru.....hebu tuache kukuza mambo
 
hili limekutach sana,au na wewe ni mmoja wa vifisadi vyetu

hoja hapa sio ufisadi pengine ningekuwa na maoni tofauti ya kupinga ufisadi unajuaje labda mimi ni mmakonde niliyechukia kumfananisha mkapa na wamakonde wakati yeye ni mmakua. kuchanganya hoja ya ufisadi na iliyo mbele yetu ni kututoa nje ya mjadala. kama unataka tujadili ufisadi anzisha thread kuhusu ufisadi utaona mchango wangu huko
 
wanafuata siasa za chuki lakini aibu ya kaushindi ka igunga imewapa jibu kuwa hawakubaliki.
 
"Hisia sio wazo" Benjamin W Mkapa. Mim nadhan wewe ndio huna vision,unaongea kwa hisia. So huna wazo.
 
Kuchangia siyo lazima lakini ni muhimu.Naona watu wemeanzisha ligi ya matusi.
Kusema kweli thread inayousisha ukabila haifai lakini ebu tumjadiri mkapa kama mkapa.Kama makosa mkapa hanayo mengi saana kwani ndo hayo hayo yanaendelea kuwatesa wananchi.
 
mnamlinda mkapa kwa gharama yoyote ile,ukweli utabaki kuwa ukweli,ameshiriki kuharibu nchi yetu
 
mnamlinda mkapa kwa gharama yoyote ile,ukweli utabaki kuwa ukweli,ameshiriki kuharibu nchi yetu

ni kweli, ni lazima atulie, awe public visionary......... akisimama aongee mambo ya kitaifa pekeee!!!! hapo heshima yangu ataipata.

awe kama FISADI WARIOBA, ni.mtu makini kwa kutoa misimamo thabiti ingawa ni jambaz kama magamba wenzake.......
 
Unaweza ukawa na point nzuri lkn presentation ikawa mbovu na kuharibu kabisa hata lengo lako, mi nafikiri JF sio kijiwe cha majungu na matusi, ni vema utamaduni huu ukaendelea na wala si klwasababu namkubali sana Mzee Mkapa. Alideliver, ufisadi upo toka ukoloni lkn heshima ya serikali lzm iwepo. halafu majungu pia yapo yanayoitwa ufisadi tusisahau. Nimekosa mvuto na mada kwa kauli za mtoa mada. We had a PRESDENT going by the name of BWM, chukua hiyo
 
Kuchangia siyo lazima lakini ni muhimu.Naona watu wemeanzisha ligi ya matusi.
Kusema kweli thread inayousisha ukabila haifai lakini ebu tumjadiri mkapa kama mkapa.Kama makosa mkapa hanayo mengi saana kwani ndo hayo hayo yanaendelea kuwatesa wananchi.

mkapa alifanya madudu kibao wakati wa utawala wake,aombe mungu ccm ishinde 2015
 
hoja hapa sio ufisadi pengine ningekuwa na maoni tofauti ya kupinga ufisadi unajuaje labda mimi ni mmakonde niliyechukia kumfananisha mkapa na wamakonde wakati yeye ni mmakua. kuchanganya hoja ya ufisadi na iliyo mbele yetu ni kututoa nje ya mjadala. kama unataka tujadili ufisadi anzisha thread kuhusu ufisadi utaona mchango wangu huko

tulisikia mkapa ni member hapa jamvini,au ndio wewe
 
Dirctor usishangae hii ni nchi ya wabongo bwana.

Fisadi BWM anategemewa afanywe kuwa mwnyekiti wa Taifa mafisadi wote, yaani sisiemu mafisadi ambalo gamba limeshindikana na usanii wa minyukano kuwapumbaza wadanganyika ukiendelea. Udikteta wake unahitajika sana sasa kichama na kitaifa ili kunyamazisha nguvu za umma na mafisadi na watoto wao waendelee kuishi wakati sisi tukiuuawa kila siku, naam nasema nafuu ya kaburu wakati ule, kama mimi mwongo jiulize mwaka huu tu wameua wangapi na sehemu ngapi ya Tanzania. Ndiyo usanii mtupu, wa el kusomea na jk wakuzaliwa nao na wasanii wakuu kama nape milya nk hawajui sababu ya kucheza isipokuwa rizone na makamba jr. Mwisho wa yote hawa wawili lazima wapeane uraisi chini ya BWM
 
mkapa akitaka kurejesha heshima lazima ajitenge na siasa ili watanzania kwa ujumla wetu bila kujali chama tumpe heshima yake
 
Kwanza kabisa ndugu yangu wewe inaonekana una ka element ka ukabila. Ni viongozi wangapi wanaolitumikia taifa hili walienda Igunga? Je kila atokaye Mtwara ni Mmakonde? This is the place where great thinkers educate the societies. No research no right to speak. Ama kweli kunya anye kuku akinya bata eti kaharisha.
 
"Namkumbuka Mzee Mkapa kwa kauli moja aliyowahi kuitoa. "Kwamba Watanzania ni wavivu wa kufikiri". Ila huyu mzee!!!!??
 
Back
Top Bottom