trachomatis
JF-Expert Member
- Jun 7, 2011
- 3,758
- 736
Alibanwa kwa maswali mpaka akashindwa kucontrol temper yake, 'Now you are getting angry Mr President...', '... Of course I am angry...'
umenikuna sana mkuu, watu wengine huongea kwa ushabiki wa kisiasa tu lakini hawataki realities na nafikiri kwa sababu ya uvivu wa kufikiri.
Aksante bana!Nimeinyaka video ya mahojiano (mwaka 2001) kati ya Mhe. Mkapa na kile kipindi cha BBC HardTalk.
Kweli hii ilikuwa "HardTalk" kwani jamaa walimbana acha.
Waweza kuitazama kupitia link hii:
http://news.bbc.co.uk/olmedia/cta/progs/01/hardtalk/mkapa31jan.ram
You need Real Player. Download it here if it is not installed in your PC:
http://software-download.real.com/0...ubinst/stub/rp12/R51RP01/RealPlayerSPGold.exe
Unaona heri hakufanya ki2 lakini ana uwezo mkubwa wa kujieleza?? damn!! kwa hiyo uko radhi kudanganywa iwapo tu huyo anayekudanganya atapangilia uongo wake vizuri.
binafsi niko tayari kuongozwa na BUBU (asiyeweza kuongea kabisaaaa) kama tu hatauza utu na rasilimali zetu.katika mambo ambayo mwalimu NYERERE aliyajutia katika uhai wake,basi ni kumpigania MKAPA kuingia madarakani mwaka 1995...(the superfailure in his political carrier) LOL
Fikra Finyu bila tafakari ya kina ukitegemea Magazeti kupata Habari bila kujua kinachoandikw sicho kilichopo kwa nia mbili: 1 Ya kisiasa 2. ya Kimaslahi eidher a. Binafsi ya mtoa hoja kwa chombo cha habari au b. ya Chombo cha habari ili kiuze.Mara nyingi waongeaji sana huwa ni Majizi au matapeli! Utatangazaje unapambana na rushwa wakati wewe ni mla rushwa namba moja?
hata makazini wanaopanda vyeo haraka ni wauzaji wauzaji maana yake waongeaji saaaaaaaaaaaaaaaaaaanaMara nyingi waongeaji sana huwa ni Majizi au matapeli! Utatangazaje unapambana na rushwa wakati wewe ni mla rushwa namba moja?
nyinyi mnaomuponda nahisi hamnazo kichwani,kwa mtu makini ataungana nami kuwa mzee wetu MKAPA alitufikisha pazuri,nakumbuka enzi za mwinyi watu walikuwa wanakimbilia milimani wakiogopa kodi ya kichwa,ni mengi mzee kafanya,na zaidi ni kiongozi na anajiamini sana,haya toka mzee wetu mkapa atoke madarakani amepewa heshma kubwa sana hasa kimataifa na anaheshmika,nyie mnaobisha fungua blog yake na soma hotuba yake alipokuwa anahutubia bunge julai 2004 au ya kuachia nafasi ya mwenyekiti ccm 2006 utagundua kwamba mzee mkapa ni kichwa,
NYIE MNAOBEZA MKAPA NAHISI MUMEZOEA KUSOMA MAGAZETI YA UDAKU YA GLOBAL PUBLISHER,
Ngoja tu check. Jakaya naye alishawahi hojiwa napoMngejua maana ya HARD talk, na mngekuwa mnasikiliza hard talks mara nyingi, mngekubaliana nami Lissu did the best, sionge uhalali wa aliyozungumza, etc, ila overview ya Interview na namna alivyojibu, the GUY is very competent.....
Angalieni hardtalk ya Hon, President William Mkapa below: