'Benefit of doubt within the love '..Are you always the victim or the winner???

Binafsi mimi naona yule ambaye ni accused ndio ataishi na mashaka kama kweli anafanya unachokihisia..
Wewe unachoweza kufanya ni kumuonyesha tu kwamba kuna kitu unakifahamu ila kwa sababu huna guts but huwezi kuleta hoja ijadiliwe hivyo unakuwa unatafuta evidences zako taratiiibu.....
i can't live with doubts kwa kweli.

Nitauliza tu, na kuhukumu.

Nikishindwa bora ku-withdrawal tu.
 
I run my mouth kuliko boda boda

Na kwa personality yangu Am not a game planner wakati hisia zangu zinavurugwa.

Naweza play na mambo mengine ila sio hisia za kuviziana siziwezi, nitakonda kwa masaa

Ila hata bila evidence, huwezi nidanganya, mara zote hasa ni9napokuwa na doubts naongea na mtu nikiwa namwangilia machoni, na ninauliza maswali ambayo huwezi jua kama yana mantiki, na naweza uliza hata mara 5 swali hilo hilo.

Na ukweli hujulikana tu

Binafsi mimi naona yule ambaye ni accused ndio ataishi na mashaka kama kweli anafanya unachokihisia..
Wewe unachoweza kufanya ni kumuonyesha tu kwamba kuna kitu unakifahamu ila kwa sababu huna guts but huwezi kuleta hoja ijadiliwe hivyo unakuwa unatafuta evidences zako taratiiibu.....
 
Kweli situation hiyo ipo sana! Ndo maana mimi NAPINGA UENDESHAJI MASHTAKA WA KUULIZANA UKITEGEMEA MTU ACONFESS!!! NEVER!!!! GONA!!!! HAPPEN!!!! Ndio maana nashauri UKIMUHISI MUMEO USIPANIC, ENDELEZA UCHUNGUZI WA KIMYA KIMYA HADI UPATE GROUNDS ZA KUTOSHA KUMCONNER!!! NA ENOUGH EVIDENCE YA KUMCONVICT THE ACCUSED!!! LOL! WITHHOLD EVIDNCE HUKU UKIIACCUMULATE !!!! Siku ya trial hana pa kutokea, hence it is proved beyond reasonable doubts kuwa he is guilty as hell!!!

Ok, tuchukulie usha prove beyond reasonable doubts, then, what is next...? lara 1
 
Last edited by a moderator:
Binafsi mimi naona yule ambaye ni accused ndio ataishi na mashaka kama kweli anafanya unachokihisia..
Wewe unachoweza kufanya ni kumuonyesha tu kwamba kuna kitu unakifahamu ila kwa sababu huna guts but huwezi kuleta hoja ijadiliwe hivyo unakuwa unatafuta evidences zako taratiiibu.....
Kaka haya mambo ya kumchunguza bata haya yana masaibu yake...........
Mimi nadhani ni vyema kuwa na subira pale mtu unapohisi kuna tatizo katika ndoa au uhusiano wako, kuliko kushupalia kutafuta ushahidi kwa ajili ya kutaka kuthibitisha, mwisho wa siku hakutakuwa na mwisho mwema.
 
Ok, tuchukulie usha prove beyond reasonable doubts, then, what is next...? lara 1

Hapo unakuwa unafanya maamuzi sahihi! Hakuna room for error!!! Ila ukikurupuka ni kama umeenda kufumani na band ya muziki!!!! LOL! Mgoni wako akisikia muziki ANAKURUPUKA NA KUSEPA ENEO LA TUKIO, ukifika unakuta mkeo kajipumzisha mkekani!!! Hapo ndipo unapompa benefits of the doubt!!!! Kumbe kaliwa kweli, kukosa mbinu ndo kumekuponza.
 
Mkuu makosa kwenye mahusiano yapo sana na intensity inapishana pia...tunachosema ni ile kumpa mwenzio nafasi ili uone ni kweli unachohisi ni sahihi...Nitakupa mfano..Kuna watu wanatupia perfumes/spray regardless of their sex..mfano wanaume wengi hatujui hilo..wengine tunachangaya tu madesa...sasa mfano umeenda safari ukanunua na ukajipulizia ukirudi kwa mkeo anaweza kupata mashaka kuwa umetoka nyumba ndogo sasa ili asikurupuke kukuvagaa anatakiwa.kukupa benefit of doubt na anaweza kuja kukugundua baadaye kuwa hiyo perfume ni yakwako pengine ulimessup kwenye uchaguzi..na maisha yanaendelea...lol!
Kaka haya mambo ya kumchunguza bata haya yana masaibu yake...........
Mimi nadhani ni vyema kuwa na subira pale mtu unapohisi kuna tatizo katika ndoa au uhusiano wako, kuliko kushupalia kutafuta ushahidi kwa ajili ya kutaka kuthibitisha, mwisho wa siku hakutakuwa na mwisho mwema.
 
Hapo unakuwa unafanya maamuzi sahihi! Hakuna room for error!!! Ila ukikurupuka ni kama umeenda kufumani na band ya muziki!!!! LOL! Mgoni wako akisikia muziki ANAKURUPUKA NA KUSEPA ENEO LA TUKIO, ukifika unakuta mkeo kajipumzisha mkekani!!! Hapo ndipo unapompa benefits of the doubt!!!! Kumbe kaliwa kweli, kukosa mbinu ndo kumekuponza.

Hebu ngoja na mie nianze na huyu muuuza mchicha kwa mama Ngina........ Haiwezekani iwe yeye kila siku tuu anatuuzia mchicha, huenda nikawa babu jinga eh..............LOL
 
mh!mbona leo kama mada inanilenga mieeeeeee!yani my pacha bwana ka ananiona vile nisivyo na benefit of doubts!ila mume wangu ananipiga bao kwenye hili !ye anaweza akakuchunia weeee unafanya madudu yakoooo unapinduka weeee!ye anakuchek tu!siku ya siku akikubana kwenye kona utakoma mwenyewe!
mi tatizo huwa nalipuka yani,halafu najikuta sina ushahidi hata kama manyoya haya hapa lakini nakosa pa kumshikia ndo nabaki sawa tu!najua tu unajua sina ushahidi juu ya hili lakini haina shida kuna mahala utakosea!ah sa ngapi mambo yenyewe yanatokea mara moja kwa miaka 3 ndo unashtuka hapa sio !
natamani niwe kama yeye!ila Mungu nae ni bonge la mkemia,sijui kama tungekuwa wote na mahsira kama mie!ila siku hizi kama nakua vile!
 
Uzuri mi ni muelewa sana...simnunii mtu wakati sina evidence au nina weak evidence...

Hivyo wakati naendelea na upelelezi mapenzi ndio kwanza yana double ili kumpumbaza ajiachie tena...hapo ndo anapokamatwa....

Unajua si kila tunachohisi ni kweli...hivyo ni ujinga kugombana bila ushahidi.
Na hakika ukitaka kuvunja ndoa yako gombana na mwenza wako huku ukitoa false accusations...ni sumu kabisaaa.

Sipati picha wiki nzima mwanaume anasubiriwa...kweli you are FBI....lol
Ila kama inakuwa ni case isiyo na ushahidi i hope in few minutes inakuwa ishakuwa solved...ryte?
 
Eti wanaume wana gather info ndipo wanapolipuka. Mimi nilianzishiwa ugomvi kwa kujinunulia chupi tu.

Nilitwangwa mangumi kwa kwenda field na kutopatikana kwenye simu.

On the other hand, yeye alimmimba msichana wangu wa kazi nikaja kugundua mtoto ana 6 months.
 
Wanaume wengi hawana subra; wanapanic sana wakihisi kitu...na mimi naungana na wewe.

Hila wanawake wengi tunaweza kupretend as if hakuna lililotokea kumbe tunatunga sheria...Lol.

Eti wanaume wana gather info ndipo wanapolipuka. Mimi nilianzishiwa ugomvi kwa kujinunulia chupi tu.

Nilitwangwa mangumi kwa kwenda field na kutopatikana kwenye simu.

On the other hand, yeye alimmimba msichana wangu wa kazi nikaja kugundua mtoto ana 6 months.
 
dah, pole Kaunga.

Yaani hakuna kitu nachukia kama kupigwa na uzee huu.

Lakini, inaweza kuwa imekufanya kaunga mwerevu zaidi.

Eti wanaume wana gather info ndipo wanapolipuka. Mimi nilianzishiwa ugomvi kwa kujinunulia chupi tu.

Nilitwangwa mangumi kwa kwenda field na kutopatikana kwenye simu.

On the other hand, yeye alimmimba msichana wangu wa kazi nikaja kugundua mtoto ana 6 months.
 
Mimi ninawezasema kuwa huwa ni Victim wa muda!
Hii ni kwa sababu sijui kumconfront mtu once nikimuhisi au kusikia kitu juu yake. Mara nyingi huamini kuwa mtu pekee wa kunipa ukweli nikauamini ni muhusika (bahati mbaya imenicost mara kwa mara) BUT whatever jibu atalonipa na kunihakikishia hulipokea na kuliamini but hulihifadhi. Siku nikipata tena la kuhoji, huuliza tena na kuchunguza kimya kimya then naamua.

Najijua am one of those slow decision makers, na najichukia kwa hili kwa sababu mpaka niamue huwa nimeumia vya kutosha BUT HAINIACHI NA REGRETS.
Ubarikiwe kwa kuileta mada hii.
 
Hapo nakuelewa..manake ndoa ina mambo mengi sana...............
Na kama utakuwa mtu wa kuongozwa na hisia basi wewe utakuwa wa kununa tu...
Ila pia inategemea na mtu na mtu...kuna wengine unaloona kwako ni kosa kwao wanachukulia simple tu...
Uzuri mi ni muelewa sana...simnunii mtu wakati sina evidence au nina weak evidence...

Hivyo wakati naendelea na upelelezi mapenzi ndio kwanza yana double ili kumpumbaza ajiachie tena...hapo ndo anapokamatwa....

Unajua si kila tunachohisi ni kweli...hivyo ni ujinga kugombana bila ushahidi.
Na hakika ukitaka kuvunja ndoa yako gombana na mwenza wako huku ukitoa false accusations...ni sumu kabisaaa.
 
Eti wanaume wana gather info ndipo wanapolipuka. Mimi nilianzishiwa ugomvi kwa kujinunulia chupi tu.

Nilitwangwa mangumi kwa kwenda field na kutopatikana kwenye simu.

On the other hand, yeye alimmimba msichana wangu wa kazi nikaja kugundua mtoto ana 6 months.

Dah Kaunga pole sana umetukumbusha wengine mbali.
 
Sio wanaume wote wanaoweza kuhandle hisia zao..so nakubaliana kabisa na wewe..
But hapo kwenye mangumi....lol
Mara ya mwisho kumpiga mwanamke ilikuwa miaka 18 iliyopita nikiwa nasoma...
Eti wanaume wana gather info ndipo wanapolipuka. Mimi nilianzishiwa ugomvi kwa kujinunulia chupi tu.

Nilitwangwa mangumi kwa kwenda field na kutopatikana kwenye simu.

On the other hand, yeye alimmimba msichana wangu wa kazi nikaja kugundua mtoto ana 6 months.
 
Very good thread

kwanza 'hiii benefits of the doubts' kwa wabongo hatuna kaabisaaa

sio kwa wapenzi tu hata kwa mengine....

kwa wabongo 'you are guilty until you prove yourself innocent'.....

I like hapo kwenye bold yani hiyo ndiyo style yetu bongo, hakuna benefit of doubt hata kidogo.
 
Yeeeah..that is nice one....Ingawa pia kuna mengine huwaga tunajua tu hapa kazuga tu but time will tell.....Wanawake mnajua sana kuficha ushahidi..mpaka umkamate mwanamke kwenye anga zake...lol inakuwa umehangaika sana...But all in all maisha ya kuviziana pia yana hatari zake...

Back
Top Bottom