'Benefit of doubt within the love '..Are you always the victim or the winner???

nakubaliana sana na wewe kak yangu, yaani mwanaume hadi aanze kumuaccuse mkewe aisee ni mpaka keshafanya uchunguzi tena kaja na evidence mkononi, tena anakushika utamu wallah unakosa pa kutokea iunakuwa mdogo na kutubu, but one thing i like them huwa ni wepesi sana wa kusamehe kwa kumaanisha na kuanza ukurasa mpya. ilishanitokea mm lol!

Mfano ungehusika sana mwalimu..lol
Hapa ndipo nyumba kubwa anapokupigia mabao..
Manake haliachwagi jiwe ambalo halikugeuzwa..mfano juu ya mfano...lolest!
 
Last edited by a moderator:
Kuna watu hawawezi kuishi na jambo kifuani eeh??
Yaani akiokota habari anaileta kama ilivyo...lol
mno mno
na mpaka mtu anaweza ambiwa mfukuze kazi
kama ni secretary wako ndo mkeo anahisi unakula
hisia tu mtu anafukuzwa na kazi lol
 
mno mno
na mpaka mtu anaweza ambiwa mfukuze kazi
kama ni secretary wako ndo mkeo anahisi unakula
hisia tu mtu anafukuzwa na kazi lol
hisia tu mtu anakosana na rafiki yake wa siku nyingi kisa mume anatembea nae..........
binti wa kazi nae anaondoshwa kisa anamvizia mume............sijui haya ni kwasababu gani lol!
 
Huoni kama ndio wanaaharibu badala ya kutengeneza??
Nipe benefit of doubt ili unikamate vizuri...unawahi nini??
women are difficult to stomach up things aisee.....
yaani hawana vifua na hii ni kwasababu they are emotionally driven........
 
Mfano ungehusika sana mwalimu..lol
Hapa ndipo nyumba kubwa anapokupigia mabao..
Manake haliachwagi jiwe ambalo halikugeuzwa..mfano juu ya mfano...lolest!

nimeshautoa bana kuna mahali nime ku-quote nikasema lol!

ila it was a sad event manake nilikosea nikijua kabisa kwamba nakosea ila nikasema hata jua, but siku zote mtu mwema ukimfanyia ubaya Mungu atamauonyesha tu na ukimtumikia shetan ipo siku atakuumbua tu.....................
manake hubby aligather information zote muhimu tena with evidence sio mere words, akaniuliza tu tena aliniita faraghan nje na home so tukawa pamoja tukapiga stori tofauti pasi mie kujua hidden agenda lol! ...........alipo anza sasa kuniuliza nikawa sijui nijibu nini uzuri machale yakanicheza nikawa nimepozi kidogo namzuga basi akafumua vielelezo lol! niliishiwa nguvu but mtoto wa kike nikakomaa tu kike nikaomba samahan ninachomshukuru yaani alisamehe na kusahamu and am her queen aisee...

so kutulia na kukusanya ushahidi ni kuzuri na pia kunapunguza machugu ya kosa lenyewe manake utaujua ukweli na utasamehe ukiwa na moyo mweupe.
 
Na wewe ndio walewale??
Usione kasemeshwa njiani..ushanuna..lol
i never be a victim.subiri my kaka nimalizie hili jukumu la ndoa ntarudi ,hivi umeoa kweli wewe,hii si ndio muda la kwanza kwikwikwi
 
Hapa nimekusoma mwalimu..
Na issue yenyewe unadhani ilikuwa imetokea lini hadi alipokupa makavu live???
nimeshautoa bana kuna mahali nime ku-quote nikasema lol!

ila it was a sad event manake nilikosea nikijua kabisa kwamba nakosea ila nikasema hata jua, but siku zote mtu mwema ukimfanyia ubaya Mungu atamauonyesha tu na ukimtumikia shetan ipo siku atakuumbua tu.....................
manake hubby aligather information zote muhimu tena with evidence sio mere words, akaniuliza tu tena aliniita faraghan nje na home so tukawa pamoja tukapiga stori tofauti pasi mie kujua hidden agenda lol! ...........alipo anza sasa kuniuliza nikawa sijui nijibu nini uzuri machale yakanicheza nikawa nimepozi kidogo namzuga basi akafumua vielelezo lol! niliishiwa nguvu but mtoto wa kike nikakomaa tu kike nikaomba samahan ninachomshukuru yaani alisamehe na kusahamu and am her queen aisee...

so kutulia na kukusanya ushahidi ni kuzuri na pia kunapunguza machugu ya kosa lenyewe manake utaujua ukweli na utasamehe ukiwa na moyo mweupe.
 
Hapa nimekusoma mwalimu..
Na issue yenyewe unadhani ilikuwa imetokea lini hadi alipokupa makavu live???

some months like 2 or 3 passed aisee hadi aliapokuja kunipa za uso. na toka siku alipogundua akaanza kuresearch ni kama mwezi mzima hivi. nilimshangaa aliwezaje kukaa na jambo linaloumiza kwa muda wote huo.
 
Unajua ukimpenda mtu lazima umfanye na yeye ni binadamu..i mean hata kama kuna jambo unalihisi juu yake mpe benefit of doubt!...Fikiria nafasi yake kwenye mahusiano yako na inabidi upeleleze kwa makini sana..
Kosa tunalofanya ni kuchukua majukumu ya kupeleleza na kuhukumu instantly ilhali ushahidi unahitaji muda saazingine.......Ukijipa nafasi mbona ukweli unaupata tu..tena mchana kweupe..

some months like 2 or 3 passed aisee hadi aliapokuja kunipa za uso. na toka siku alipogundua akaanza kuresearch ni kama mwezi mzima hivi. nilimshangaa aliwezaje kukaa na jambo linaloumiza kwa muda wote huo.
 
Mimi nikiwa na doubt kwanza nashtua...nakupa hints...afu nakusikilizia;

Utajieleza weeee....mimi napozi kama nimeingia line....tena utasema yamekwisha...

Kumbe uko under observation...siku nikikuuliza tena jua nina evidence zitakazokufanya ukose cha kujitetea.

Nikiwa sina evidence uwaga sibishani kabisa ingawa sikai kimya nakwambia nimeona hiki na hiki na hiki...au hii message mbona haieleweki...kumbe hapo nsha chukua namba nafanyia kazi.

Yani nakupa bonge la tabasamu kwa maelezo unayonipa...kana kwamba umenipata kweli... kumbe movie ndo imeanza.

Utasikia Its Ok...baby I was just curious...(kumbe si Ok wala nini)
 
Mume wangu alishanijua basi nikiuliza kitu anaweza akaanza kujieleza wiki nzima....

Na evidence anakusanya mwenyewe sasa...Lol. Maana anajua wife ni more than FBI.

Kuna siku iliingia message ya kipuuzi kwenye simu yake usiku wa manane...kosa alilolifanya aliifuta ile message afu akasahahu kufuta missed call.

Nikamuuliza message ilikuwa inasemaje...oooh siyo nzuri...hakunambia exactly ilikuwa inasemaje...ila akasema ilikuwa imepotea njia kwani hamjuhi alotuma.

Huwezi amini wiki nzima alikuwa anafafanua jinsi alivyompigia simu huyo alotuma mesage kumkanya awe makini akiwa anatuma message kwani anaweza vunja ndoa za watu...afu mdada ni kama alimjibu utumbo akamwambia mwanaume gani unakuwa mhoga hivyo...yote ananisimulia...

Ila nilishatuma makachero wangu wakanipa data za mwenye hiyo namba...ni mwanafunzi wa UD na info nilizopata ni same na alizonipa hubby baada ya kufuatilia alomtumia message...hivyo case ikawa closed.
 
unamtesa mumeo na u FBI wako lol
 
Niliwahi kuwapa hints za U FBI washikaji zangu fulani tulikuwa tunapiga story...kulikuwa na wadada na wakaka...mmoja Mnigeria si wao wanajifanya wanajua kila kitu bana...

Huyu Mnigeria aliishiwa nguvu akasema bora mke wangu hajayasikia haya maana ungekuwa mwisho wangu...wewe NK umejuaje ujanja wote huo..

Dada wa Kiganda yeye akasema yeye hawezi kufanya niliyokuwa nasema kwani hana kifua....maana mtu lazima akamatwe tu...
 
Sipati picha wiki nzima mwanaume anasubiriwa...kweli you are FBI....lol
Ila kama inakuwa ni case isiyo na ushahidi i hope in few minutes inakuwa ishakuwa solved...ryte?
Mume wangu alishanijua basi nikiuliza kitu anaweza akaanza kujieleza wiki nzima..
 
Back
Top Bottom