Bendera za Makao makuu - CUF

Lengeri

Senior Member
Jul 3, 2009
180
15
Ukipita makao makuu ya chama cha wananchi - CUF hapa Buguruni, Dar es Salaam utaziona Bendera mbili zikipepea:
1. Bendera ya chama - CUF
2. Bendera ya Zanzibar.

Maswali
A) Vipi mbona hakuna bendera ya Tanganyika/Tanzania?

B) Jee kuna umuhimu gani wa kupeperusha Bendera ya Zanzibar kwenye ardhi ya Tanganyika?

Lengeri.
 
cuf ilianzishwa kwa madhumuni ya kuwatetea wazanzibar na siyo watanganyika-by ismail jussa ladhu
 
bendera ya zanzibar ni kwa kwa kuwa cuf ina makamu wa pili wa Rais maalim seif sharif hamad
 
bendera ya zanzibar ni kwa kwa kuwa cuf ina makamu wa pili wa Rais maalim seif sharif hamad

Hiyo si hoja. Mbona CCM wao wana Rais, makamu wa rais mtendaji huko visiwani lakin hawapeperushi bendera ya Znz pale Lumumba au Chamwino.
 
Mtikila alikuwa Genius watu wakamuona chizi. Hawa wazanzibar watatuchokoa chokoa mpaka basi!!
 
Ukipita makao makuu ya chama cha wananchi - CUF hapa Buguruni, Dar es Salaam utaziona Bendera mbili zikipepea:
1. Bendera ya chama - CUF
2. Bendera ya Zanzibar.

Maswali
A) Vipi mbona hakuna bendera ya Tanganyika/Tanzania?

B) Jee kuna umuhimu gani wa kupeperusha Bendera ya Zanzibar kwenye ardhi ya Tanganyika?

Lengeri.

mi nathani hii huwekwa pale Maalim Seif anapodhuru hiyo ofisi ki-protokali
 
Hivi kuna bendera ya Tanganyika (bado inatumika ?)

9k=

Hiyo hapo, nenda kwa fundi uitengeneze, Lakini jamaa wanahasira nayo hiyo. Sijui.
 
Kazi kweli kweli. Mbona jibu rahisi Cuf si CCM B serikali ya SMZ inaongozwa na CCm wanaogopa kuwapa Bendera ya ccmenpale ambayo ni ccme B
 
Kwa hakika hiyo ni dhihaka kubwa. Chama cha siasa hakiwezi kuvunja sheria kiasi hicho. Wapeperushe bendera hiyo huko visiwani siyo Buguruni
 
Back
Top Bottom