Bendera ya Tanzania

Viper

JF-Expert Member
Dec 21, 2007
3,668
1,400
katika pita pita zangu mtandaoni nakutana a bendera za tanzania zikiwa zinatofautiana rangi..! huku nipo niliwahi kufika ofisi ya ubalozi wetu na kuchukuwa bendera niweke pambo kwenye meza yangu .. ilibidi nichukuwe mbili za rangi tofauti ... wadau nisaidie kati ya hizi ipi haswa ni bendera yetu nazungumzia rangi blue! .. blue ipi ndio haswa ya bendera ya tanzania

dddddddddddddddddddddddddd
tzlarge.gif



ttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttttt YYYYYOR



KKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKKK
tz-lgflag.gif
 
Nadhani ya kwanza yenye Blue iliyokolea ndio sahihi...huo mpauko hata haupendezi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom