Bendera ya Misri mchana huu-wanaomboleza au imechakaa!

masopakyindi

Platinum Member
Jul 5, 2011
17,803
13,034
View attachment 61542
Bendera ya Misri kama nilivyoiona mchana huu sijui inatoa ujumbe gani kwa watanzanzania.
Bendera hiyo iko ndani ya fensi barabara ya AH Mwinyi karibu na Br Morocco.
View attachment 61544
Imechakaa,imechanika, na inaning'inia kwa kamba moja.
Sijui tuwaelewe vipi wenzetu hawa.
 
Hapana wanaomboleza, askari wao 16 juzi waliuliwa na wapambambanaji wa kiislam (jihadists), chezea uamsho weye!!
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom