Bendera ya ccm ibadilishwe

gervase

Member
Jan 23, 2011
41
5
Bendera ya ccm ina alama ya jembe kumaanisha mkulina na nyundo kwa mfanyakazi. Hivi mkulima na mf'kazi wana lolote pale? Nadhani wafanyabiashara za mikataba tata kama rchm au dow.. (wanaofaidi zaidi) hakuna alama yao kwenye hiyo bendera. Au kijani ina maana ya wafanyabiashara wakuuubwa na vigogo kadhaa. Nashawishika kusema bendera hiyo ya kijamaa haina tena relevance ktk jamii ya ki-capitalist., uwekezaji, utandawazi, nk. Hivyo ibadilishwe.
 
No mkuu mbona ilibadilishwa tangu zamani haa baada ya mwalimu kuondoka> rangi ni ileile ila jembe na nyundowaliondoa wakaweka kisu na uma!
 
No mkuu mbona ilibadilishwa tangu zamani haa baada ya mwalimu kuondoka> rangi ni ileile ila jembe na nyundowaliondoa wakaweka kisu na uma!
Nimeipenda Hii!!!!!!!!!!!!!

Nakumbuka John Cheyo kwenye kampeni za 1995 alisema nyundo inatumika kumpondaponda mtanzania na jembe ni kuchimbia kaburi na kumzilka. Sijui leo anasemaje kuhusu nyundo na jembe
 
Back
Top Bottom