Bendera kwenye mahoteli zina maana gani?

Kisheria Au katika paspective ya Private international law hii inamaanisha Mgeni toka eg londo anaweza kuaply law ya nchi yake.
 
BENDERA ZINAZOWEKWA KWENYE HOTEL NA HASA ZILE ZA NYOTA ZA JUU KABISA, ZILE BENDERA ZINAONESHA KUWA HIYO HOTEL INAPATIKANA HATA KWENYE NCHI YA BENDERA HUSIKA. KWA MFANO UKIONA NJE YA HOTEL KUNA BENDERA YA S.A, USA, KENYA,UK,FRANCE,GERMAN INAMAANA HIYO HOTEL INAPATIKANA HATA KWENYE HIZO NCHI ZINAZOPEPERUSHA BENDERA ZAO NJE YA HIYO HOTEL. HIYO INARAHISISHA HATA KWA WATEJA KUFAHAMU KIRAHISI MATAWI YA HIYO HOTEL NJE YA NCHI. UKIONA NJE KUNA BENDERA 3 INAMAANA HIYO HOTEL INA MATAWI MA3 AU NAYO NI MOJA YA TAWI NA MAKAO MAKUU YANAPATIKANA MOJA KTK NCHI YA BENDERA. ZINAZOPEPERUSHA.
Hata makanisa ni hivyo inamaana hilo kanisa linauhusiano na nchi inayopeperusha hiyo bendera.
NIJUAVYO MIMI HAKUNA KITU AU JAMBO LINALOWEKWA MAHALI PASIPO KUWA NA MAANA YAKE,JAPO HAIJALISHI KAMA HIYO MAANA NI YA MUHIMU AU LA.

Si kweli mkuu, Moevenpick chain hawana Hotel US, Korea na hata Japan, mbona wanazo bendera za nchi hizo!?
Hivi karibuni wamefungua Hotel nchini Nigeria mbona hawajaweka bendera ya nchi hiyo?
 
Mmmnh kama hivyo ndivyo basi hotel zingine wanaweka hizo bendera bila kujua maana yake; siamini Kama Lake Tanganyika beach hotel ipo na USA na SA!

Na ndio maana mie nikasema ni Business Strategies...................
 
nnunu!! exellent! namaanisha umeongea exactly maana ya hizo bendera! Mtambuzi tambo zooote!

Kwa taarifa yako, kuanzia tarehe 1 December 2011, Moevenpick wanaanua tanga na kuipisha Serena Hotel. Na Serena wana matawi katika nchi chache sana Afrika, yaani Kenya Uganda, Tanzania, Rwanda, na Msumbiji............ Haya sasa tuone kama Bendera za mataifa makubwa ya ulaya na us kama zitaondolewa na kuachwa zile za nchi hizo nne tu!
 
inamaana hoteli ya kimataifa isipo kuwa na bendera haitofahamika kuwa ni ya kimataifa mpaka ziwekwe bendera ya nchi tofauti tofauti ndo kiwe kitambolisho cha hilo
 
Mahoteli kupeperusha bendera za mataifa mbalimbali maana yake nikukujulisha kuwa raia kutoka nchi husika ambazo unaona bendera zao zinapeperushwa kwenye hiyo hoteli wamefikia hapo au kwa maana nyingine hoteli husika wana wageni kutoka nchi ambazo unaona bendera ziko nje ya hoteli

kwa maana hiyo ni hatari kwa kuwa magaidi itakuwa rahisi kujua walipo wabaya wao na hatimaye wanaweza kufanya mashambulizi
 
Back
Top Bottom