Benard Saanane jisafishe haraka; atoa maelezo

Status
Not open for further replies.
Ngoja asubirie moto wa mwanahalisi kesho?
Tatizo dogo ni jeuri na anajiamini sana,ila sasa hadi tuhuma za visu?Si anapenda mapinduzi?
 
Wewe si unaamini katika mapinduzi?mbona unajifanywa mwanademokrasia?unaijua demokrasia imeletwa vipi?
 
Nuclear,

Mhh,Leo angalao ! Sasa kwa sababu umeleta kimzaha mzaha wacha nami nikujibu kimzaha ili nilale nikiwa nimekufanyia mzaha kidogo.Noow! Look back at our culture, we always had kings who ruled for as long as they were alive, we naturally translated this into national governance. Think about this, Europeans were able to revolt against their own kings and set up the sort of national governance we see today. Europeans will be ever willing to fight for the democracy or whatever type of governance they instituted after monarchy. Africans never had a chance to revolt against their kings, democracy and whatever sort of government were imposed on them. They didn't fight to establish whatever Government is present in their country so to them, the leaders are nothing other than traditional kings which they're used to. This is why we view our presidents with some sort of magnifying glass and see him as encompassing all powers just like the KING.

We're not silly, most of us just do not see a reason to lose our lives for a cause that isn't ours. There is no change as powerful and long lasting as an internal change. External imposition can only last for awhile and the internal components i.e. citizens cannot be made to fight for something they didn't produce.

Otherwise GOODNIGHT,na next time uache kushikwa mateka ama?
 
Thank you Ben mapambano ya kuwakomboa vijana ktk umasikini wa fikra yaendelee sasa uchaguzi umekwisha tusonge mbele. ALUTA CONTINUA
:A S-rose:
 
Demokrasia ya Tanzania ni ngumu sana, inakuwa demokrasia ukishinda tu. Kwa nini huwa hatukubali maamuzi ya sheria tulizoziweka wenyewe? Unakubali halafu unakataa.

Mimi binafsi namshauri Ben ajiepushe na kujibu kila kitu kipindi hiki. wengi walijikuta kubaya sababu ya kuongea mno. Waliokuengua nao wakija kutetea hoja za kwanini ulienguliwa itakula kwako kaka. Jipange jijenge wewe bado mdogo.

Mimi binafsi namshuuri mtu yeyote mwenye wazo la kuingia kwenye kinyang'anyiro cha uongozi akubali kuna kushinda, kushindwa, kuchujwa, kutolewa na kuachwa. Vigezo gani vinatumika inatokana na wanaoamua. Hayo ukiyakataa utakuwa unapiga ngumi ukuta, iko pote ipo kila mahali. Nilimwona Hillary alivyolia akisaidiwa na mumewe, Kushindwa kuna uma sana, ila wengi huenda lizkizo ili kuponya majeraha kabla ya kuakaa na waandishi wa habari ili kujua nini kilitokea.
 
Kinepi_nepi,

Asante.Siku zote mimi ni muumini mzuri wa demokrasia.Ukomavu wa demorasia ni pamoja na kukubali matokeo katika uchaguzi uliofanywa katika mazingira huru na ya haki,na hili ndilo linalochochea political crisis nyingi Africa.Kwa kweli tuna kazi katika kupigania Democracy huku Africa.What matters most is a political vision,Sagacity and Brilliance (in a True democratic context).

Mkuu hebu soma ile post yangu ya kwanza kwa utulivu kabisa.
 
KILA MPENDA UKWELI ASOME HAPA
31.05.2011
Kwanza kabisa naomba Moderators Msihamishe hii thread au kuunganisha na Nyingine.

Nashukuru sana kwa sababu nimeona Jf kuna waungwana, wachambuzi wa mambo na watu wasiosukumwa na ushabiki. Pia katika mchakato huu wa Uchaguzi, nimeshuhudia mambo mengi ambayo hata ninyi mngeyashuhudia nahisi hata fikra na mitazamo yenu ingebadilika.

Hii thread nimeona nichangie kwa sababu ina hamu na imeonyesha jitihada za kutafuta ukweeli lakini hata hivyo ni lazima nizingatie Umoja wa Chama chetu kwanza. Maadui wetu wa kwanza ni CCM na sera zake mbovu. Nataka kujiepusha na harakati zote za kukigawa chama chetu, nazingatia Maslahi ya taifa letu na tumaini la watanzania wanaotegemea CHADEMA kama tunu kwao katika kulikomboa taifa letu.

Siku zote mimi ni muumini mzuri wa kanuni. Kama chama kimeona nimekiuka kanuni, basi ni lazima niwajibishwe. Tujiulize au naomba kuulizwa katika muktadha wa kidemokrasia, je Saanane umekiuka kanuni za uchaguzi?

Mazingira ya kuvunja kanuni: Niliunganisha nguvu na wagombea wenzangu wawili. Kanuni tata iliyovunjwa ni ile ya kukataza kampeni kabla ya muda.

Tulijadili namna au uwezekano wa kuunganisha hoja zetu ili tumpigie kampeni mgombea huyo ashinde. Wakati huo huo mimi nikiwa tayari kujitoa lakini nimsaidie mgombea mwingine.

Lengo langu si madaraka, mimi si mroho wa madaraka. Ninaipenda Bavicha na ninakipenda chama changu. Katika kuunganisha kwetu nguvu, tulizingatia utayari wa mwenyekiti mtarajiwa kushaurika na mwenye kubeba haiba ya chama katika sura ya Kitaifa ili vijana wote wajisikie kwamba BAVICHA ni sehemu yao.

Lengo kuu la Bavicha ni kuratibu, kuhamasisha miundombinu na raslimali katka mchakato huu wa mabadiliko kupitia vijana wote Tanzania kwa ajili ya kuking'oa chama cha Mapinduzi. Nilizingatia hilo, Bavicha ni kubwa kjuliko Saanane, ni kubwa Kuliko Greyson na ni kubwa kuliko kiongozi au Mtu yeyote ndani ya chama Chetu.

Hapa wazo langu lilikuwa ni maslahi ya Bavicha kwanza, maslahi ya vijana kwanza. Kama ni kuwa mateka basi nilishikwa mateka na hisia zangu za kutaka kujitoa sadaka kwa ajili kujenga uongozi wa Bavicha uliotukuka.

Mengi yamesemwa, mengi yameandikwa kwa nia haramu na halali. Wapo waliopandikizwa hisia chafu kimaslahi zaidi. Hili siwezi kulijadili kwa sasa, haitakuwa jambo la busara na sababu ninazo tena nzito tu.

Sasa kama kujadili namna ya kuunganisha nguvu ni kampeni, basi nakubali nilikiuka kanuni naomba nisamehewe. Najua wana JF mlikuwa na imani sana na mimi, naomba imani hiyo muendelee kuwa nayo.

Sijawahi kukisaliti chama changu kama inavyopandikizwa kwa nguvu zote na baadhi ya watu ambao wasiojiamini, waliofunikwa na ushabiki na ombwe la fikra.

Kupitia uchaguzi huu nimeamini sisi kama taifa tuna demokrasia yetu ni changa.

Nilipotangaza kwamba naunganisha nguvu na wagombea wengine, na niko tayari kuitoa sadaka nafasi yangu ya kuwa mwenyekiti, vijana wengi waliumia, walilia, walisononeka kwani walikuwa na imani kubwa nami.

Wengine walisema umetusaliti, wengi sasa wamenielewa ila tu natoa wito kwao waendelee kushirikiana na uongozi uliopo. Bavicha ni kubwa kuliko ubinafsi wetu.

Lakini niwahakikishie, dhamira yangu ni njema na roho yangu ni safi. Nitaendelea kuipigania demokrasia ndani ya chama chetu ili tuzidi kukomaa na ili tuwe mfano kwa vyama vingine si ndani ya Tanzania tu na hata Afrika kwa ujumla.

Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana. Naheshimu sana Tasnia ya habari katika kukuza demokrasia, nasizitiza Sikupewa fursa ya kujinadi na kujenga hoja mbele ya wapiga kura kwani ilionekana nimekiuka maadili.

Kwa hiyo sijashindwa uchaguzi, sikuingia katika sanduku la kura kwa kuwa nilituhumiwa kukiuka maadili.
Naomba niishie hapo kwa sasa.

Je tuhuma zote juu yako ni za kweli? Je, Mazingira ya uchaguzi yalikuwaje?

Tuhuma za Rushwa si kweli, ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana. Wamemnukuu katibu mkuu vibaya kwani hata yeye alisema hakuna tuhuma zozote zilizoletwa juu yangu kuhusu hili.

Mimi ni mkweli, sijwahi kutoa rushwa, labda rushwa ya hoja.

Tuhuma za Kupokea wajumbe: Sijawahi kupokea wajumbe.

Tuhuma kama hizi msingi wake ni nini?

Kuwagawa vijana kimakundi: Sasa tafsiri ya kuwagawa vijana ni nini? Mimi sina makundi, labda kundi ambalo liliniunga mkono ambalo si kundi Rasmi. Hata wanaJF walionipa imani ni miongoni mwa kundi hilo.

Sasa utagombeaje uongozi kupitia mchakato wa kidemokrasia kwa kushindana kwa hoja bila kuwa na kundi litakalounga mkono hoja zako? Hili ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama chetu ili tusonge mbele.

Tafsiri tata kama hizi zinatumiwa vibaya kwa makusudi au kimkanganyiko (comfusion) katika kukandamiza demokrasia, ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama. Nimeweka sawa upotoshaji unaofanywa

Je kujitoa katika uchaguzi ni kosa? Natambua kama mwanasiasa wafuasi wangu walikuwa na imani na mimi katika kusimamia hoja nilizokuwa nazo kwa ajili ya Bavicha.

Katika maaamuzi niliyofikia nilizingatia maslahi ya chama, BAVICHA na vijana wa Tanzania kwa ujumla katika harakati zetu za mabadiliko

Sikuwahi kushiriki katika hila za Rushwa, Vurugu (Kama ninavyoona jitihada za kuniunganisha katika hilo). Kwanza hilo ni kosa la jinai, nalaani mpango huo haramu wa kutumia vurugu na vitisho, hiyo si Demokrasia

Tuhuma za kuwa pandikizi: Hilo nitalijadili, misimamo yangu haitaweza kuruhusu mimi kutumika hata kidogo, tuhuma hizo hazinihusu, kama yupo anayenihusisha nazo basi ana ajenda yake. Msiimamo yangu ipo wazi, siku zote napinga kuwa mateka wa kifikra.

Kuna mambo mengine ambayo ningependa tuyajadili ndani ya chama chetu.Tafadhali sana naomba mvute subira kwa hili. Ila sitaki kutoa siri za vikao.

Mapenzi yangu kwa CHADEMA hayana kipimo, mapenzi yangu kwa Tanzania hayana Kipimo.

Naomba niishie hapa kwa sasa, kwani naelekea maeneo ya Sabasaba kwa ajili ya kuweka mambo sawa na kuponyesha majeraha yaliyotokana na uchaguzi huu.

Nipo katika jitihada hizi kwa utashi wangu na kwa mapenzi mema ya chama changu. Tafadhali nivumilie
ni katika hili.

Naomba mnisamehe kwa makosa yoyote ya spelling kwani nimeandika haraka haraka

Asanteni sana.

Nasizitiza sijawahi kukisaliti na sitakaa nikisaliti chama changu, sijatawahi kuwa mateka wa kifikra wa mtu yeyote.

Youths for Radical change-From Bernad Saanane.
Posted by technician@jamiiforum.com
 
Kinepi_nepi,

Asante.Siku zote mimi ni muumini mzuri wa demokrasia.Ukomavu wa demorasia ni pamoja na kukubali matokeo katika uchaguzi uliofanywa katika mazingira huru na ya haki,na hili ndilo linalochochea political crisis nyingi Africa.Kwa kweli tuna kazi katika kupigania Democracy huku Africa.What matters most is a political vision,Sagacity and Brilliance (in a True democratic context).

Mkuu hebu soma ile post yangu ya kwanza kwa utulivu kabisa.

Unasema ndani ya CDM hakuna demokrasia? Na hilo limetokea baada ya wewe kuenguliwa? Au ulilijua mapema? Ni kweli nchi nyingi za Afrika zimegubikwa na ukiukwaji mkubwa wa demokrasia na utawala unaofuta sheria.

Nisingependa kuingia kwenye hili saga, ila nitawatetea viongozi waliowaengua kwani hata wewe umekiri ulianzisha kundi. Sasa kila mmoja anayeijua siasa anajua athari za makundi ya ndani. Mlipoanzisha kundi nia ilikuwa kuja kugawana madaraka pale mmoja atakapochaguliwa, na hii ni hatari sana kwa chama.

Barua ya mnyika iliweka wazi kuwa hakuna kampeni mpaka siku ya uchaguzi, makundi ni kampeni, alliance ni kampeni. najua hukufanya kwa nia mbaya, ila ndivyo ilivyotokea, kubali maamuzi bado kijana. Uchungu ulionao inabidi upumzike.
 
Nuclear,

Mhh,Leo angalao ! Sasa kwa sababu umeleta kimzaha mzaha wacha nami nikujibu kimzaha ili nilale nikiwa nimekufanyia mzaha kidogo.Noow! Look back at our culture, we always had kings who ruled for as long as they were alive, we naturally translated this into national governance. Think about this, Europeans were able to revolt against their own kings and set up the sort of national governance we see today. Europeans will be ever willing to fight for the democracy or whatever type of governance they instituted after monarchy. Africans never had a chance to revolt against their kings, democracy and whatever sort of government were imposed on them. They didn't fight to establish whatever Government is present in their country so to them, the leaders are nothing other than traditional kings which they're used to. This is why we view our presidents with some sort of magnifying glass and see him as encompassing all powers just like the KING.

We're not silly, most of us just do not see a reason to lose our lives for a cause that isn't ours. There is no change as powerful and long lasting as an internal change. External imposition can only last for awhile and the internal components i.e. citizens cannot be made to fight for something they didn't produce.

Otherwise GOODNIGHT,na next time uache kushikwa mateka ama?

Duuuuhhh! naona theory yako imeendelea kufanana na ya Gaddaffi ya Kings.Dikteta mkubwa wewe,nimejikuta nakugongea thanks si kwa hizo hoja zako ila kwa vijembe na propaganda zako.Tatizo unapenda sketi,unadhani kila saa unatongoza.Waambie watu kuhusu uhusiano wako na Rebecca Tusizwe kutoka ubalozi wa Afrika kusini Tanzania.Kijana una mienendo ya Totoz kama akina Sarkozy,Zuma na Jk au Slaa wenu.Hao wamefanya uzinzi wakiwa wazee,wewe bado kijana mdogo itakugharimu.Ibilisi!

Taifa_Kwanza na WanaJF kwa ujumla,

Kwanza kabisa naomba Moderators Msihamishe hii thread au kuunganisha na Nyingine.

Nashukuru sana kwa sababu nimeona Jf kuna waungwana, wachambuzi wa mambo na watu wasiosukumwa na ushabiki. Pia katika mchakato huu wa Uchaguzi, nimeshuhudia mambo mengi ambayo hata ninyi mngeyashuhudia nahisi hata fikra na mitazamo yenu ingebadilika.

Hii thread nimeona nichangie kwa sababu ina hamu na imeonyesha jitihada za kutafuta ukweeli lakini hata hivyo ni lazima nizingatie Umoja wa Chama chetu kwanza. Maadui wetu wa kwanza ni CCM na sera zake mbovu. Nataka kujiepusha na harakati zote za kukigawa chama chetu, nazingatia Maslahi ya taifa letu na tumaini la watanzania wanaotegemea CHADEMA kama tunu kwao katika kulikomboa taifa letu.

Siku zote mimi ni muumini mzuri wa kanuni. Kama chama kimeona nimekiuka kanuni, basi ni lazima niwajibishwe. Tujiulize au naomba kuulizwa katika muktadha wa kidemokrasia, je Saanane umekiuka kanuni za uchaguzi?

Mazingira ya kuvunja kanuni: Niliunganisha nguvu na wagombea wenzangu wawili. Kanuni tata iliyovunjwa ni ile ya kukataza kampeni kabla ya muda.

Tulijadili namna au uwezekano wa kuunganisha hoja zetu ili tumpigie kampeni mgombea huyo ashinde. Wakati huo huo mimi nikiwa tayari kujitoa lakini nimsaidie mgombea mwingine.

Lengo langu si madaraka, mimi si mroho wa madaraka. Ninaipenda Bavicha na ninakipenda chama changu. Katika kuunganisha kwetu nguvu, tulizingatia utayari wa mwenyekiti mtarajiwa kushaurika na mwenye kubeba haiba ya chama katika sura ya Kitaifa ili vijana wote wajisikie kwamba BAVICHA ni sehemu yao.

Lengo kuu la Bavicha ni kuratibu, kuhamasisha miundombinu na raslimali katka mchakato huu wa mabadiliko kupitia vijana wote Tanzania kwa ajili ya kuking'oa chama cha Mapinduzi. Nilizingatia hilo, Bavicha ni kubwa kjuliko Saanane, ni kubwa Kuliko Greyson na ni kubwa kuliko kiongozi au Mtu yeyote ndani ya chama Chetu.

Hapa wazo langu lilikuwa ni maslahi ya Bavicha kwanza, maslahi ya vijana kwanza. Kama ni kuwa mateka basi nilishikwa mateka na hisia zangu za kutaka kujitoa sadaka kwa ajili kujenga uongozi wa Bavicha uliotukuka.

Mengi yamesemwa, mengi yameandikwa kwa nia haramu na halali. Wapo waliopandikizwa hisia chafu kimaslahi zaidi. Hili siwezi kulijadili kwa sasa, haitakuwa jambo la busara na sababu ninazo tena nzito tu.

Sasa kama kujadili namna ya kuunganisha nguvu ni kampeni, basi nakubali nilikiuka kanuni naomba nisamehewe. Najua wana JF mlikuwa na imani sana na mimi, naomba imani hiyo muendelee kuwa nayo.

Sijawahi kukisaliti chama changu kama inavyopandikizwa kwa nguvu zote na baadhi ya watu ambao wasiojiamini, waliofunikwa na ushabiki na ombwe la fikra.

Kupitia uchaguzi huu nimeamini sisi kama taifa tuna demokrasia yetu ni changa.

Nilipotangaza kwamba naunganisha nguvu na wagombea wengine, na niko tayari kuitoa sadaka nafasi yangu ya kuwa mwenyekiti, vijana wengi waliumia, walilia, walisononeka kwani walikuwa na imani kubwa nami.

Wengine walisema umetusaliti, wengi sasa wamenielewa ila tu natoa wito kwao waendelee kushirikiana na uongozi uliopo. Bavicha ni kubwa kuliko ubinafsi wetu.

Lakini niwahakikishie, dhamira yangu ni njema na roho yangu ni safi. Nitaendelea kuipigania demokrasia ndani ya chama chetu ili tuzidi kukomaa na ili tuwe mfano kwa vyama vingine si ndani ya Tanzania tu na hata Afrika kwa ujumla.

Vyombo vya habari vinatoa matamko au habari ambazo ni General sana. Naheshimu sana Tasnia ya habari katika kukuza demokrasia, nasizitiza Sikupewa fursa ya kujinadi na kujenga hoja mbele ya wapiga kura kwani ilionekana nimekiuka maadili.

Kwa hiyo sijashindwa uchaguzi, sikuingia katika sanduku la kura kwa kuwa nilituhumiwa kukiuka maadili.
Naomba niishie hapo kwa sasa.

Je tuhuma zote juu yako ni za kweli? Je, Mazingira ya uchaguzi yalikuwaje?

Tuhuma za Rushwa si kweli, ila pia naona waandishi wengine wamekuwa General sana. Wamemnukuu katibu mkuu vibaya kwani hata yeye alisema hakuna tuhuma zozote zilizoletwa juu yangu kuhusu hili.

Mimi ni mkweli, sijwahi kutoa rushwa, labda rushwa ya hoja.

Tuhuma za Kupokea wajumbe: Sijawahi kupokea wajumbe.

Tuhuma kama hizi msingi wake ni nini?

Kuwagawa vijana kimakundi: Sasa tafsiri ya kuwagawa vijana ni nini? Mimi sina makundi, labda kundi ambalo liliniunga mkono ambalo si kundi Rasmi. Hata wanaJF walionipa imani ni miongoni mwa kundi hilo.

Sasa utagombeaje uongozi kupitia mchakato wa kidemokrasia kwa kushindana kwa hoja bila kuwa na kundi litakalounga mkono hoja zako? Hili ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama chetu ili tusonge mbele.

Tafsiri tata kama hizi zinatumiwa vibaya kwa makusudi au kimkanganyiko (comfusion) katika kukandamiza demokrasia, ni suala litakalojadiliwa ndani ya chama. Nimeweka sawa upotoshaji unaofanywa

Je kujitoa katika uchaguzi ni kosa? Natambua kama mwanasiasa wafuasi wangu walikuwa na imani na mimi katika kusimamia hoja nilizokuwa nazo kwa ajili ya Bavicha.

Katika maaamuzi niliyofikia nilizingatia maslahi ya chama, BAVICHA na vijana wa Tanzania kwa ujumla katika harakati zetu za mabadiliko

Sikuwahi kushiriki katika hila za Rushwa, Vurugu (Kama ninavyoona jitihada za kuniunganisha katika hilo). Kwanza hilo ni kosa la jinai, nalaani mpango huo haramu wa kutumia vurugu na vitisho, hiyo si Demokrasia

Tuhuma za kuwa pandikizi: Hilo nitalijadili, misimamo yangu haitaweza kuruhusu mimi kutumika hata kidogo, tuhuma hizo hazinihusu, kama yupo anayenihusisha nazo basi ana ajenda yake. Msiimamo yangu ipo wazi, siku zote napinga kuwa mateka wa kifikra.

Kuna mambo mengine ambayo ningependa tuyajadili ndani ya chama chetu.Tafadhali sana naomba mvute subira kwa hili. Ila sitaki kutoa siri za vikao.

Mapenzi yangu kwa CHADEMA hayana kipimo, mapenzi yangu kwa Tanzania hayana Kipimo.

Naomba niishie hapa kwa sasa, kwani naelekea maeneo ya Sabasaba kwa ajili ya kuweka mambo sawa na kuponyesha majeraha yaliyotokana na uchaguzi huu.

Nipo katika jitihada hizi kwa utashi wangu na kwa mapenzi mema ya chama changu. Tafadhali nivumilie
ni katika hili.

Naomba mnisamehe kwa makosa yoyote ya spelling kwani nimeandika haraka haraka

Asanteni sana.

Nasizitiza sijawahi kukisaliti na sitakaa nikisaliti chama changu, sijatawahi kuwa mateka wa kifikra wa mtu yeyote.

Youths for Radical change

Dr. Slaa - tuna ushaidi wa kutosha kwamba mmeunda alliance ya wagombea wanne na mna mpango wa kujitoa ukumbini na kumuunga mkono mgombea mwingine. Jana usiku mlifanya vikao kadhaa kikiwepo kimoja mlichofanyia bondeni hotel (bondeni ya zamani) usiku wa manane, Ni KWELI??

Saanane Ben- Ni kweli nakiri hilo.

Dr. Slaa - Sasa kama una mpango wa kujitoa kwa nini ulichukua form? Tutakuamini vipi siku nyimgine ukipewa dhamana na chama kugombea nafasi kama ya ubunge, si utajitoa tena?

Ben Saanane - Sitajitoa nikipewa dhamana na chama.

Dr. Slaa - Sasa kama una mpango wa kujitoa hata kabla ya uchaguzi, si bora chama kikutoe. Kuna tofauti gani kati ya wewe kujiengua mwenyewe au chama kikakuengua?

Ben Saanane - Chama kikiniengua personality (hadhi) yangu itashuka, lakini nikijitoa mwenyewe personality yangu itabaki palepale au itapanda zaidi.

Dr. Slaa - Kipi ni muhimu zaidi,personality (heshima) yako wewe Ben Saanane au Heshima ya chama kwa ujumla wake , chama ambacho kimeundwa na watz wengine mamilioni kwa mamilioni??

HAKUNA KITU NZURI KAMA KUJUA LOGIC. Hii inanikumbusha wakati ule nikiwa shule kwenye kozi moja ya Dr. Lwaitama inaitwa critical thinking and argumentation.
 
Poleni mashabiki wa Dikteta Saanane.Mlitaka kuangusha ngome,huyo dogo taaluma zake ni za mapinduzi tu.nilitoa wito kwa watu kama hao kupigwa shaba tu maanake ni hatari kwa mustakabali wa nchi yetu.Najua hila zake,siku zote hakubali kushindwa ingawa anatabasamu lakini kwa visasai ni balaa,mtakuja kuniambia.Yeye ni muumini wa upanga kwa Upanga wa moto.hiyo ndiyo nadharia yake aliyokuwa nayo India kwenye madaraka.Aliwatesa sana wakenya na Waethiopia kwa kulipiza visasi hadi kuingilia chaguzi zao za ndani na kuvuruga.
Mnyang'anyeni kadi ili misimamo yake ya ki-Jihad akaisimamie katika kulea mimba ya yule Rebecca Tusizwe afisa ubalozi wa A.Kusini Tanzania.Kapindue sketi utuachie nchi yetu. Jini mhaba mkubwa!
 
Hivi ndivyo ilivyokuwa? kama ndivyo Ben akae kimya.
 
mods ..... please peleka huyu chizi Guantanamo Bay
 
Eeeh ! ! !

Sitaki kusema sana hapa,kama chama kitaniruhusu kuweka hadharani majibu niliyotoa basi nitafanya hivyo .Sijui ni nani aliyerekodi majibu haya,nami nitatoa majibu yangu.Naona uamuzi wa kukaa kimya kwa kukwepa kutoa siri za vikao unatumika vibaya.Hili nitalifanyia kazi,wanaJF na watanzania mtapata ukweli wa majibu na mazungumzo yangu.sijui huyu aliyepost ana maslahi gani hapo au yeye ni mjumbe tu

Nilishasema nilikubali kwamba tulifikiria kuunganisha hoja zetu,kura zetu tuhamishie kwa Mwingine.nitalisimamia hili.Tunaporekodi mazungumzo tuwe makini au tunapotoa taarifa za viakao tuwe makini,pia tusitumie mwanya wa ukimya au taarifa zinazotolewa for the sake of our narrow interests
 
Eeeh ! ! !

Sitaki kusema sana hapa,kama chama kitaniruhusu kuweka hadharani majibu niliyotoa basi nitafanya hivyo .Sijui ni nani aliyerekodi majibu haya,nami nitatoa majibu yangu.Naona uamuzi wa kukaa kimya kwa kukwepa kutoa siri za vikao unatumika vibaya.Hili nitalifanyia kazi,wanaJF na watanzania mtapata ukweli wa majibu na mazungumzo yangu.sijui huyu aliyepost ana maslahi gani hapo au yeye ni mjumbe tu

Nilishasema nilikubali kwamba tulifikiria kuunganisha hoja zetu,kura zetu tuhamishie kwa Mwingine.nitalisimamia hili.Tunaporekodi mazungumzo tuwe makini au tunapotoa taarifa za viakao tuwe makini,pia tusitumie mwanya wa ukimya au taarifa zinazotolewa for the sake of our narrow interests.Hii ni aibu kwa demokrasia yetu,siogopi kusema.
 
kufanya kampeni kabla ya muda sio ufisadi so dogo upo clean na endeleza kusukuma gurudumu nimeipenda thread yako sana that great thinker are my brother, this country need people like you. na watu tusibadilishe maneno Slaa kasema kanuni ilivunjwa ya kufanya kampeni kabla ya muda sasa tatizo liko wapi mbona watanzania twapenda sanaa majungu jungu tu na umbea let use OUR BRAINS bwana!!

take it as a challenge ni kama kujiandaa na mtihani ukasoma kabla ya preparation week ukakacha vipindi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom