Ben Saanane
JF-Expert Member
- Jan 18, 2007
- 14,581
- 18,124
Mimi sikuleta hii thread hapa ndio maana ukiangalia mchango wangu wa mwanzo niliuliza nini dhamira ya hii thread hapa wakati uchaguzi umeisha unaweza kuisoma ipo juu mwanzoni kabisa; ninachoona hapa nikuwa CCM wanalalamika sana Ben kuenguliwa na yamkini ndio walioanzisha hii thread kwa lengo ambalo nyie mnalijua na mnataka kututia kwenye mtego ilituingie tunase! Mi ninavyojua na ninavyoona maneno ya Ben na malalamiko yenu humu na michango yake bado mnamponza na kama wana CDM makini wamo humu wanaona na kufuatilia lazima kuna points wanazipata juu yenu na juu ya Ben!
Mi sioni haja ya hii thread hapa labda kama lengo ni kumsafisha mtu wenu, na kumsafisha mnakotaka ndiko kunazidi kudhiirisha kuwa ni mtu wenu! Kama nilivyosema awali Nyie rafikize ndio mmemponza zaidi na hapa bado mnazidi kumponza msidhani watu ni wajinga kiasi hicho, mtaweza kuwadanganya mara moja lakini hamta weza kuwadanganya kila siku!
Unaweza kumsoma mtu kutokana na mchango wake na hoja zake ukamjua anakotoka na anakoenda! Nadhani kubalini kuwa mmeshindwa katika hili na mbadilishe mbinu yaani mjipange upya! Kujadili zaidi hii hoja aina mashiko labda kama Ben anatakakujiunga na CCM baada ya hii thread kwa hiyo mna jaribu kutengeneza njia ya kutokea!
Arafat,
Nakuheshimu sana.Tafadhali njoo uthibitishe hizo tuhuma zako,kuna mjadala unataka kuuanzisha hapa.Tafadhali naomba usinihusishe na CCM.
CCM wataenda wengine wenye njaa na opportunists,misimamo yangu iko pale pale.Naomba tafadhali usijaribu kujishushie hadhi kwa upotoshaji wako au kuandika bila Tafiti.