Benadeta Kinabo apewa tuzo ya Milioni Moja Mei Mosi

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
ni yule aliyezuia chadema-moshi kulipia watoto wa shule ada kwa madai kuwa wazazi watakosa uchungu wa elimu kwa watoto wao.

eti na yeye (kinabo) ni mfanyakazi hodari.
 
Huyu mama namjua ni corrupt tangu akiwa pale arumeru na mpaka akaingia kashafa na kushinda kifisadi akapelekwa Moshi mjini kwa influence ya Ali Hassan Mwinyi. Hana lolote kwani nawajua ma-DED kibao amba wanachapa kazi kama mama Zippora Liana aliyetoka Moshi Vijijini then Monduli na akakosana na Lowassa kwa sababu yeye hapendi ufisadi bali kazi then wakampa Adhabu ya kwenda Mkuranga
 
Huyu mama ni makini sana kikazi na mfuatiliaji wa sheria, anaijua kazi yake kikamilifu, muda simrefu atakuwa RAS.

Madiwani wa CDM tatizo lao ni cheap popularity pasipo kujali taratibu na sera ya elimu ya nchi inasemaje!
 
Waliojiunga JF baada ya CCM kuanzisha komedi ya kujivua gamba:

Join Date : 11th April 2011
Posts : 82
Thanks 0 Thanked 9 Times in 6 Posts
Rep Power : 21
 
Mmhhhh, sijui bwana!
 
Waliojiunga JF baada ya CCM kuanzisha komedi ya kujivua gamba:

Join Date : 11th April 2011
Posts : 82
Thanks 0 Thanked 9 Times in 6 Posts
Rep Power : 21
JF: Where we Dare To Talk Openly

Na wewe ulijiunga baada ya nini?

Heshimu mawazo/michango ya wenzio mkuu,Umeleta Thread acha members waichangie,na si kila mchango lazima ulenge unachokitaka wewe....

Haya mambo ya kuanza kuangalia mchangiaji kajiunga lini hayaijengi JF hata kidogo
 
Huyu mama ni makini sana kikazi na mfuatiliaji wa sheria, anaijua kazi yake kikamilifu, muda simrefu atakuwa RAS.

Madiwani wa CDM tatizo lao ni cheap popularity pasipo kujali taratibu na sera ya elimu ya nchi inasemaje!
Nahisi harufu ya jani fulani hapa na ugoro.
 
Huyu mama ni makini sana kikazi na mfuatiliaji wa sheria, anaijua kazi yake kikamilifu, muda simrefu atakuwa RAS.

Madiwani wa CDM tatizo lao ni cheap popularity pasipo kujali taratibu na sera ya elimu ya nchi inasemaje!

Lilombe unafanya kazi ya bwana wako vizuri. Nijuavyo mimi hakuna kiumbe anayeweza kumshinda bata kwa kuhara. Hata hoja hii inanipa sababu kubwa ya kukupa pongezi kwa kuweza kufanya vizuri sana anachokifanya bata.
Hata hivyo ni vema wenye busara ya kujadili mambo ya kitaifa kwa uzalendo wao waendelee n issues.Tuachane na wajadilifu wanaojadilia TUMBO.
Kwa wasiomjua Bernadeta Kinabo basi basi niwaambie yule bibi ni hatari kuliko Anna Makinda
 
Mimi namkubali sana huyu mama, ni mfanyakazi hodari kweli kati ya makada wengi wa CCM.. Alijitahidi sana kuhakikisha CDM aishindi Moshi lakn nguvu ya umma tu ilimshinda.. na sasa anajitahidi kwa hali na mali kulinda mali za CCM Moshi ambazo ilipora toka kwa wananchi hazirudi tena kwa wananchi!! Hana hata mshipa wa aibu yeye ni kazi tu kuhakikisha maslahi ya CCM yanalindwa!!
Mwacheni apewe zaidi kwa sababu ni MFANYAKAZI BORA KATIKA KULINDA MASLAHI YA CCM. After all leo si ni siku ya wafanyakazi? Hivyo haijarishi ni mfanyakazi wa kada gani au taaluma gani au maslahi ya nani ili mradi katimiza wajibu wake vizuri. Kwenye glossary yangu na mim namtuza muhudumu wangu Sh. 10,000/= kwa kazi nzuri ya kufungua vizibo!!
 
waliojiunga jf baada ya ccm kuanzisha komedi ya kujivua gamba:

Join date : 11th april 2011
posts : 82
thanks 0 thanked 9 times in 6 posts
rep power : 21

nitaepuka ubaguzi daima! Uwe wa kikabila, umri wa kuzaliwa na umri kujiunga na taasisi
 
Kama huyo mama kapewa ufanyakazi bora basi CCM Imeamua kuanza kuvaa magamba yao. kupewa ufanyakazi bora kwa fitina zake za kuibana CHADEMA.
 
Jamani wanaJF ni vyema tukajadili kwa hoja na wala siyo jazba. Kuna mtu anasema anamfahamu huyu mama ya kuwa ni mchapakazi hodari kwa hiyo anastahili tuzo na kuna wengine wanasema hastahili ila hawatoi hoja wanasema ni kada wa CCM. Hapa weredi uko wapi? Hatupingani kwa hoja ila kwa hisia kwa kuwa tu huyu mama amepinga elimu ya bure kama ilivyopendekezwa na CHADEMA? Tujuilize ili tuweze kujadili kwa uungwanga: NANI ANATEUA MFANYAKAZI BORA? Kama ni CCM basi huyu mama atakuwa nalipwa fadhila lakini kama si CCM ni kwa nini tusikubali kuwa ni mfanyakazi hodari na wafanyakazi wenzake (ambao baadhi yao ni wa CHADEMA: Huenda ni wengi kwa kuwa Moshi ni ngome ya CHADEMA) wameona hivyo na kuamua kumpa ufanyakazi hodari? JAZIBA NA KUKOSA UEREDI KUTAINYAKUA HESHIMA YA JAMII FORUM
 
Huyu mama namjua ni corrupt tangu akiwa pale arumeru na mpaka akaingia kashafa na kushinda kifisadi akapelekwa Moshi mjini kwa influence ya Ali Hassan Mwinyi. Hana lolote kwani nawajua ma-DED kibao amba wanachapa kazi kama mama Zippora Liana aliyetoka Moshi Vijijini then Monduli na akakosana na Lowassa kwa sababu yeye hapendi ufisadi bali kazi then wakampa Adhabu ya kwenda Mkuranga
Nakuunga mkono kwa asilimia 100.Angepewa huyu mama hata mimi ningeenda kumuongezea.
 
Mimi namkubali sana huyu mama, ni mfanyakazi hodari kweli kati ya makada wengi wa CCM.. Alijitahidi sana kuhakikisha CDM aishindi Moshi lakn nguvu ya umma tu ilimshinda.. na sasa anajitahidi kwa hali na mali kulinda mali za CCM Moshi ambazo ilipora toka kwa wananchi hazirudi tena kwa wananchi!! Hana hata mshipa wa aibu yeye ni kazi tu kuhakikisha maslahi ya CCM yanalindwa!!
Mwacheni apewe zaidi kwa sababu ni MFANYAKAZI BORA KATIKA KULINDA MASLAHI YA CCM. After all leo si ni siku ya wafanyakazi? Hivyo haijarishi ni mfanyakazi wa kada gani au taaluma gani au maslahi ya nani ili mradi katimiza wajibu wake vizuri. Kwenye glossary yangu na mim namtuza muhudumu wangu Sh. 10,000/= kwa kazi nzuri ya kufungua vizibo!!

safi sana jombaaaa
 
Huyu mama ni makini sana kikazi na mfuatiliaji wa sheria, anaijua kazi yake kikamilifu, muda simrefu atakuwa RAS.

Madiwani wa CDM tatizo lao ni cheap popularity pasipo kujali taratibu na sera ya elimu ya nchi inasemaje!

Kibaraka!!!!!! hana umakini wowote zaidi ya ushabiki wa CCM ili awafurahishe washikaji wake akina rais mstaafu na wengine ambao ni baba watoto wake. Kwa hiyo nakataa unayosema kwani tunamfahamu. Mwaka 1995 wakati wa uchaguzi wa pili wa vyama vingi akiwa mkurugenzi pale Arumeru alimpa mpenzi wake tenda ya kutoa service ya magari ya kusambaza masanduku ya kura na kisha wasimamizi kadhaa kutoka nje wakalazimika kulala katika hoteli ya huyo mshikaji wake iitwayo Ngome ya ngome ya fedha kwa kifaransa au Hotel forte de mones iliyopo karibu na jengo la makumbusho ya Azimio la Arusha.
 
Back
Top Bottom