Duh, hata huruma hawana,si wangempa Xavi jamani?? Anyway,he deserves it the most!!
Ni Ronaldo original.... 'The Phenomenon'.....Ronaldo Luis Nazario de Lima...Ni Ballon si Bellon.
Afu huyo Ronaldo gani aliesoma? Maana CR anajiandaa na game dhidi ya Malaga. Hivyo hakuhudhuria.
Labda kama unamaanisha El Phenomena.
Duh, hata huruma hawana,si wangempa Xavi jamani?? Anyway,he deserves it the most!!
Umepotea sana.....Duh, hata huruma hawana,si wangempa Xavi jamani?? Anyway,he deserves it the most!!
Pele Ukurutu Utamuwasha sana leo
Hakika Xavi alistahili. Mwaka 2010, ameshinda WC akiwa na Spain na CL akiwa Barca.
Sijui Nessi amefanikiwa nini katika ngazi ya taifa!
Dunia nzima imekua kipenzi cha chenga twawala! Arrgghh!
Umepotea sana.....
Hata mimi ningempa Xavi maana kwa waote watatu yeye ndiyo ana medali ya kombe la Dunia, anayo ya kombe la Ulaya, anayo ya Uefa CL, anayo ya ubingwa wa La Liga.....Pia ndio injini ya mafanikio ya Spain(National Team) na F.C Barcelona....
Zamani Ballon D'Or ilikuwa inaangalia mafanikio ya mchezaji katika timu ya Taifa zaidi kuliko klabu kama ilivyo sasa......Leo Messi na Cristiano Ronaldo hawana msaada wowote kwa timu zao za Taifa kama ilvyo kwa mtaalamu na mpishi Xavi Hernandes.....
Kweli kabisa mkuu.
Tatizo siku hizi wameingiza siasa na biashara kwenye utoaji wa hiyo tuzo.
Messi na CR hawakustahili kuwemo hata 3 bora. Wapi Forlan,Iniesta na Sneijder? Hawa wote walifanya vizuri sana kwa timu zao za taifa na vilabu.
Sasa ukiweka siasa na upenzi wa chenga twawala,Nessi anaonekana yuko sayari nyingine!
Blatter na Platini wanaharibu sana soka.
Hawa FIFA waliniboa sana mwaka 2010 ambapo Wesley Sneijder alistahili kushinda baada ya kubeba Serie A,Coppa Italia,UEFA Champions League,FIFA Club World Cup akafika fainali ya World Cup tena akawa mfungaji bora cha ajabu hakuwepo hata kwenye list ya wachezaji bora 3.Kwa mwaka huu hata sipingani nao wote walistahili