BelindaJacob.....

Gosh Kloro....ngoja nikalale sasa kabla sijahamishia bifu pande hizi.Ila nakuasa TAMAA MBAYA!!!Alafu nilifeli chekechea kwahiyo bailojia hua nasikia tu mtaani!!

lizzy acha bwana kulumbania Post yangu na belinda, kama una contact zake nipe nipe nipe nakuomba
 
hiyo sio tamaa bana ni nature! hivi umesahau kwenye baiolojia wanasema kila sekunde kunatengezwa sperms millioni something, sasa unadhani kama hawajapungua kupitia posts za lizzy si watazeeka halaf wasababishe cancer? think! Lizzy think

hata lips za Belinda ni nature mkuu au sio...acha nature ichukue unature wake...
 
WanaJF huyu mtu naomba contact zake tuuuuu.....najua yuko hapa kila wakati.....ana mdomu umejaa strawberry sijui, sijui nini yaani full utamu...BelindaJacob mama kama unanisikia kilio changu.....
Jamani kwani invizibo amekataza kupiemu?hiyo ndo kontakti rahisi..
 
Sura nzuri kama yangu...macho ya kurembua bila kulazimisha...sauti nzuri zaidi kinanda...pesa...ukareeee na jina kubwa!

Kumbe lizzy unataka eeeeeeeeeeeeeehhhhhhhhh unajiregesha kwa Kloro nimeona...
 
Jamani kwani invizibo amekataza kupiemu?hiyo ndo kontakti rahisi..
hapa hapa nitampata, SiPM maana mtasema nazunguka...live natoa feelings zangu....sijifishi na hapa hapa kama kuna pingamizi liwepo
 
Back
Top Bottom