BelindaJacob.....

Jamani yaani umwombee mwenzio ban kwa kukuzimia....lol..............................usiwe mkali hivyo mwelewe tu halafu mvumilie tu...........................chembe chembe hujaza kibaba..................

If you love Me, keep My commandments
no comments, namiss wewe sana tuu
 
Sasa kilicho kushinda kuanzisha kule chit chat ni nini?!Na klichokuzuia kumPM ni nini?!Na kilichokufanya utamani avatar ni nini?!20% kashasema tamaa mbaya!!

wewe lizzy acha kuniingilia mawindo yangu, mie nakula nyimbo kama When you kiss me...umewekwa hata hapa mara kibao tu....hujui avatar iko kama yeye tuuuu...Siendi chi chta maana mie nimemdondokea hapa hapa...
 
quote limegoma bana!

Lizzy:

kwanza hisia hazina jukwaa
pili mapenzi hayana sababu

mimi mwenyewe nimejikuta napenda spelling za jina lako tu walahi! khaaa RIP klorokwini, mapenzi hayauwi lakini yanasababisha kifo. nakufa jamani

Usife babu, ila lizzy mbanifu jamani...hata kuonja tu hataki....mwache akae na penzi lake basi.....
 
Beautiful, gorgeous, Breath taking
Oooihhhh boy
there is no words to described her beauty ..

Maguu my dear
Kila lakheri tuliomwona
Tunasema kabarikiwa
....

Kwa nini Lizzy ananisonga sana kuhusu belinda? jamani mie Nimemdondokea kikweli kweli
 
Naona umechoka kupumua bure! Nitakupa uhamisho wa bure kwenda ahera!!! Yani mke wangu BJ unamshobokea tena kwa kutangaza kabisa? Khakiya Mungu niombe radhi kijana!!

haya wewe nawe waja mkuu....hebu tuliza bori hilo goma wewe huliwezi....tuache wenye kujua maana ya midomo bwana
 
namimi nalog out! usjali nitakusomesha baiolojia kwa vitendo! vere soon

halafu mkuu hili domo la belindajacob acha ukute anajua maana yake na akutane na sisi wajua what the thing mean....uwiiiiiiii huulizwi ulikuwa wapi. ila utaambiwa nenda tena ulikokuwa, maana ni ngoma draw
 
Back
Top Bottom