Belgium Edges Closer to Veil Ban!

Wewe unapenda mama yako na dada yako watembee matiti mapaja waziwazi?jiulize kati ya anayevaa hijab na asiye vaa ni nani unayeweza kumtongoza kirahisi?

Looh salale! hii ya kwako kali. Sikujua kuwa wanaofunika nyuso kumbe wanaficha matiti na mapaja!! Basi hawa sio binadamu bali ni mazimwi.:frown:
 
Haya mavazi yanaficha sana magaidi wanaotumia mabomu kujilipua na pia kulipua watu wengine, afadhali wakavalie kwao Uarabuni kama wanaona wanaonewa!

Hivyo Buchanan kule ulaya ndio kwenu? Mbona hapa kwenu hupigi marufuku vazi hilo?
 
Wewe unaonyesha chuki na dharau yaajabu kabisa, yani inashangaza. Mimi simuombeagi mtu mabaya ila wewe ikiwezekana uliwe 'tigo' na mpemba ukae sawa. Au kama unamtoto wakike in PM nikwambie..lol
 
Wewe unaonyesha chuki na dharau yaajabu kabisa, yani inashangaza. Mimi simuombeagi mtu mabaya ila wewe ikiwezekana uliwe 'tigo' na mpemba ukae sawa. Au kama unamtoto wakike in PM nikwambie..lol

Haya mavazi yanatumiwa na magaidi wanapokuwa kwenye uhalifu wa kulipua binadamu wenzao! Hayo mambo ya tigo yanakujaje? Au unaleta ujumbe kWamba Wapemba ni wataalam wa kulawitiana?
 
Mwana wa Mungu, nimesema Unconstitutional kwa sababu, katiba nyingi za nchi za Ulaya magharibi (Liberal Democracy) zinasema wazi kwamba, “A democratic and civilized society should allow people to wear whatever they want.” It’s not society’s right to have adress code. Hivyo basi, Waislamu wakitaka kuappeal kwenye mahakama ya Jumuiya ya Ulaya wanaweza kupewa haki, ingawa haitakuwa rahisi. Umesema kwamba vitenge ni tofauti na ushungi, na kwamba ushungi upo connected na Uislam ambao unaruhusu Jihad, na kwamba ukitaja jina lako la kiislam nchi za magharibi hazikuamini. Well, labda hufahamu hali halisi ya ULAYA pamoja na uhusiano wao na hao waislamu. Kwa taarifa yako, hao waislamu wameenda huko kutokana na jitihada za wazungu za kujaribu kutatua tatizo la upungufu wa watu nchini mwao.
Kama tunavyojuwa, wao wameacha kuzaa, na wengi waliopo sasa hivi wanazidi kuzeeka, kwa hiyo ufumbuzi? Immigration. Belgium na Canada (Quebec ) wanapendelea nchi za MAGHREB kwa sababu wanaongea kIfaransa, kwa hiyo Lugha zao zinakuwa zimepona. Kwa hiyo, hizi nchi zina sera maalumu ya kuvutia watu kutoka nchi hizo zenye kuzalisha Magaidi ili waende ULAYA, na sio kwamba hawa watu wamejipeleka wenyewe, nooooo! Wazungu wanajuwa fika wanachokileta nchini kwao.
Kuna mwanajamii aliyesema kwamba, kama wanaona wanaonewa, si waludi kwenye nchi zao za asili? Hili suala ni rahisi kulisema kuliko ukweli wenyewe. Social conflicts zote huwa hazitatuliwi hivyo, kwamba kukiwa na mgogoro kidogo, basi unapack na kuondoka. Halafu kwa wale wenye kuelewa historia ya Ufaransa na nchi za Afrika ya Kaskazini, tunaongelea second na third generation of Muslims from Algeria, Morrocco, and Tunisia. Sio watu walioenda huko juzi. Na wao kwenda huko UFARANSA, ilikuwa ni moja ya sera za WAFARANSA za kuwalizimisha waraabu wawe WAFARANSA (THE ASSIMILATION POLICY, REMEMBER?) miaka hamsini baadaye, waraabu na waislamu wamekuwa mzigo, why? B’se hawakukubali kuwa assimilated au kuwa secular kama wenyeji wao. Sasa hiki kizazi cha pili na cha tatu wataenda wapi? Wamezaliwa na kukulia Ufaransa, Ubelegi na kwengineko, na isitoshe wana haki zote kama raia.
Sehemu zote zenye matatizo, yakiwa ya kuichumi, kijamii, na kisiasa kama ilivyo France na Belgium, ni rahisi kuwalaumu wageni na minority. Ubelegi sasa hivi wanatangatanga, kwanza mpaka leo hii hawana serikali baada ya waziri mkuu kutangaza kujiuzulu. Francophone na Flemish wanashikana koo kila siku, kwa hiyo politically, inatia faraja kwa wanasiasa kuscore easy points; Burn the veil. Lakini hilo sio tatizo, na kupiga marufuku maninja hakutatuwi matatizo yao ya jamii, badala yake ni yaleyale ya mfa maji.
Leo wanadili na NIQAB, kesho itakuwa POLIGAMY. Tukae kimya na tutaona. Hawa waislamu wanaweza kushinda kwa sababu ya katiba za nchi za ULAYA, na sio zaidi. Pengine haitakuwa leo au kesho, lakini mwisho wake yatatokea tu. Miaka 20 iliyopita, suala la SAME SEX MARRIAGE lilikuwa kama TABOO kwenye MABUNGE, MAHAKAMA, NA VYOMBO VYA HABARI vya ULAYA NA MAREKANI, lakini leo hii ni RUKSA hata kurithishana.
Hiyo ndio LIBERAL DEMOCRACY Constutition ndugu yangu; Ni kuichambua, kuitafsiri, na kuikabili katiba yao. Hapo hakuna unazi wala mlungula, ni haki tupu. Hizo haki hazipatikani hata kwenye nchi ambazo hao Waislamu walipotoka, lakini labda watazipata huko ULAYA NA MAREKANI.
*HOJA YANGU NI KUHUSU KATIBA; HAKUNA ZAIDI.
 
Hivi Katiba ya EU inashughulikia hata internal affairs esp mavazi?
 
Tatizo la hawa watoto wa mama wa kambo, wakati wote wanawaza tuu ngono ngono ngono, kuibiwa mke kuibiwa mke kuibiwa mke, hata kazi hawafanyii vizuri, wivu mtupu, hata akiwa na wanawake wanne peke yake, bado wivu hadi kwenye kucha. hakuna mwenye shinda na wake zenu, kinachosemwa ni hikii, kuvaa kininja mnaficha nini? sura? halafu nguo zenyewe nyeusiiii kama mzuka, jini? kwani mwamedi alipoletewa ndogo na yule malaika wa giza hakuwashauri walau nguo iwe nyeupe, mbona nyeusi wajameni, wakijitahidi kidogo, kijivu, hukuti nyeupe hata siku moja. wanaficha magaidi, hata osama ana vaa ushungi.

mbona kama mnaogopa kuibiwa wanawake, wanawake wa kiislam tz ndo wanaongoza kwa umalaya na kupenda ngono. angalia wanawake wa tanga na pwani yooote, hawafai. aliyekwambia uzinzi wa mtu unakaa kwenye mwili ni nani? kwa taarifa yako, uzinzi au dhambi yoyote ya mtu inakaa moyoni, huko ndiko kwenye chemchemi ya kila kitu. hivyo, kama mkeo mzinzi, hata umvalishe ushungi tano, anaweza akamfunika tu huyo mwizi wako hat ausimwone, anaweza kufanya chochote atakacho pamoja na ushungi wake, na hakuna atakayegundua kwasababu wengi watasema amevaa ushungi hivyo hajafanya kitu, na wewe ukirudi home hutagundua.

mnahangaika, ukienda zenji, hadi sokoni hawataki waende, ati wanaume wa sokoni wasije wakawapenda..hahaha, ukienda kwenye nyumba zao, wameweka geti kali la ajabu, hata mkono haupiti, wanawafungia ndani hakuna kutoka nje hadi watakaporudi home,,,,ndani mle ni kulisha na kufuga majini tu. akitoka nje bila ruhusa, hata kama ananunua askrim tu, atakipata cha moto. kumbe amesahau kuwa kuna machinga wanatembeza nguo wanawapitishia nguo hapohapo home, wengine wasafisha kucha na vidole wapaka rangi, wanawatembelea kwenye mikeka yao bila shida. na siku ukisafiri, anamaliza hasira zoooote. kwa kifupi, mnahangaika na joto lote hili la Dar, kuvaa ushungi ni ushetani tu, wala hakuna mantik yoyote kufamnya mtu awe na adabu. wanaokufa kwa ukimwi zaidi hapa bongo mbona ni nyie wenyewe wenye wake watatuwatatu....duh!

Mkuu naona umeamua kukandamiza kisawasawa. Ukweli ndo huo. Uzinzi hauzuiliwi kwa sheria na masharti magumu bali ni kwa rohoni mtu amwamini MUNGU na aache dhambi. Ukweli ni kuwa dini hii ya watoto wa kambo ni ya mwilini ndo maana hata vita vyao ni vya kimwili. Ukimkosea anakulipua kwa bomu au kukukata mapanga kama tunavyoona wanavyofanya duniani kote.
 
Utakuta akina mama wengine sura zao zinatisha, mbaya, lakini wanazifungia ndani ya mavazi ya kininja!
 
Utakuta akina mama wengine sura zao zinatisha, mbaya, lakini wanazifungia ndani ya mavazi ya kininja!!
 
wabelgiji sio wajinga kuban kitu kama ichi kwani tatizo ni limeanzia kwao wenyewe walipoanza kutumia mavazi ayo kujilipua! hakuna suicide bomber aliyevaa kitenge! kwa iyo watu wengi wamekua uncomfortable wanapokua mtaani na wanawake waliojificha sura! so they got themselves to blame na bottom line ile ni nchi sio yao kama kwa namna flan ilo ni gumu nadhan warudi tu makwao kwani uko kuna uhuru abundant wa kuvaa ivyo!
 
Ukiona mwenzako ananyolewa, anza kutia maji kichwani. Leo ni Burka, kesho sijui itakuwa nini. Make no mistake, ukishangilia any discrimination laws, basi ujue kwamba iko siku haki zako pia zitakuwa violated.
 
sishangai hasirani,,,
wacha kila mtu awe na sheria za nchi yake jinsi vile anavojisikia kulinda MAADILI/TAMADUNI/MISISMAMO nk ya jamii zao mf.iran,belgium,saudia,vatican,brazil,uganda,ivory coast,libya nk
habari ndo iyo
 
Ukiona mwenzako ananyolewa, anza kutia maji kichwani. Leo ni Burka, kesho sijui itakuwa nini. Make no mistake, ukishangilia any discrimination laws, basi ujue kwamba iko siku haki zako pia zitakuwa violated.

hivi wewe unafikiri wale wanawake wa ki-AMERICA/EUROPEAN wanaovaa HIJAB SAUDI ARABIA wanapenda??wanavaa kwasababu wanaheshimu sheria za SAUDI, na hao waarabu sasa wakija kwao nao waheshimu sheria za nchi za watu.
 
hivi wewe unafikiri wale wanawake wa ki-AMERICA/EUROPEAN wanaovaa HIJAB SAUDI ARABIA wanapenda??wanavaa kwasababu wanaheshimu sheria za SAUDI, na hao waarabu sasa wakija kwao nao waheshimu sheria za nchi za watu.

Sure!
 
hivi wewe unafikiri wale wanawake wa ki-AMERICA/EUROPEAN wanaovaa HIJAB SAUDI ARABIA wanapenda??wanavaa kwasababu wanaheshimu sheria za SAUDI, na hao waarabu sasa wakija kwao nao waheshimu sheria za nchi za watu.

Huu ndio ukweli ambao WAISLAMU hawapendi kuusikia, wanataka wanachoamini wao tuamini wote lakini tunachoamini sisi ni upuuzi tu. Waziri mkuu wa AUSTRALIA aliwaambia kuwa nchi yake imejengwa kwa misingi ya Kikristo asiyetaka kufuata ustaarabu wa kikiristo basi arudi ktk nchi yake mwenyewe.
 
Huu ndio ukweli ambao WAISLAMU hawapendi kuusikia, wanataka wanachoamini wao tuamini wote lakini tunachoamini sisi ni upuuzi tu. Waziri mkuu wa AUSTRALIA aliwaambia kuwa nchi yake imejengwa kwa misingi ya Kikristo asiyetaka kufuata ustaarabu wa kikiristo basi arudi ktk nchi yake mwenyewe.

Hawa jamaa si wamepiga marufuku watu kuangalia DSTV sehemu moja huko Kenya? Kwa hiyo na wao wawe wapole tu!
 
Back
Top Bottom