Beki kukaba!

Jaguar

JF-Expert Member
Mar 6, 2011
3,438
1,026
(BABA):Binti yangu, kuanzia leo kila ifikapo saa 11 jioni unatakiwa uwe ndani ya nyumba,sawa?
(BINTI): Lakini baba mimi si mtoto mdogo tena,nimekua na ninajua ninachokifanya!

(BABA): Najua umekua na ndo maana nataka saa 11 jioni uwe ndani!
 
kwani asubuhi mpaka saa 11 kasoro hakabiki au muda huo sio wa hatari mi naona mkabaji anaruhusu cross tu
 
Back
Top Bottom