bei za windows phone zatoka android mupo?

Chief-Mkwawa

Platinum Member
May 25, 2011
30,631
39,613
bei za nokia lumia 920 na htc 8x flagship za nokia na htc kwa windows phone 8 zimetoka kwa contract nokia lumia 920 itakua 149 na htc 8x ni 99 bila contract best buy wametoa zote mbili zitauzwa dola 599. lumia 920 yenye 32gb ni cheap kuliko samsung galaxy s3 na iphone 5 16gb.

Lumia-920-ATT-Cyan_465.jpg

bei hiyo imekuja baada ya price za nchi mbali mbali za lumia 920

-ulaya nchi kama italy na sweden ni dola 800
-india usd 600

hope nokia watatuletea na bongo
 
mkuu chief-mkwawa hii ni habari njema kwa kila mwana teknolojia bei hizi ni bei za dagaa kabisaaa ukilinganiaha na bei za flagship zilizopo kama s3 na i5, tatizo linakuja wapi je bongo zitafika au ndo mpaka tu agize nje?? na kama zikija bongo lazima price iwe ya kutisha maana wabongo tunavyo penda faida ni hatari
 
Last edited by a moderator:

tusubirie hio november maana hizi ni pre order.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom