Bei za nyumba M/Nyamala, Ilala na Temeke Chan'gome

profkobayashi

JF-Expert Member
Mar 29, 2011
224
71
Kuna mtu anauza nyumba M/Nyamala karibu na hospitali

mimi nauliza, hivi nyumba eneo lile zinafika milioni 250?

Ni sawa au ndogo au kubwa?

iko barabarani nyumba na kuna duka...

Btw

Ilala wanasema is the next Kariakoo..je bei zake zinaendaje?

Changombe uhindini je vipi? Kuna ghorofa jipya la ma bohora pale nadhani ni eneo zuri karibu na kwa Majjid...ila sina hakika kama kuna nyumba za kuuza pale
 
Mnh wenzio tunajichanga kutafuta kodi za pango.....bei za kununua nyumba tena?? Labda waulize mafisadi.............
 
kwa ilala 250 M ndo bei yake. Sijui huko M/Nyamala na Temeke

Am sure Chang'ombe maeneo uliyoyataja ni untouchable kama wallet imekaa powa tafuta tu utapata. Matajiri wanasema "EVERYTHING IS FOR SELL ITS JUST THE MATTER OF THE PRICE"
 
Back
Top Bottom