Fahamu kuhusu bei za mazao mbalimbali katika maeneo tofauti ya Tanzania

mjengo

Member
Sep 28, 2012
11
1
Habara wana JF, mimi nipo Mbeya ninaomba kujulishwa bei za mahindi na maharage Dar es salam, nitashukuru sana kama nita julishwa bei za mazao hayo asanteni.
 
Mkuu Mi Niko Huku,Ila Sijajua Bei Ikoje!
Tusubiri Wadau Wengine!
 
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu

Uzi huu ni maalum kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao ili kupeana taarifa za bei za mazao katika mikoa mbalimbali

Mimi naanza hivi

Morogoro tarehe 31/05/2017 wilayani kilosa mahindi mapya yanauzwa sado moja ni kati ya 1000shs mpaka 1500shs na gunia la sado 30 ni 30000/= hadi 45000/=

*sado moja ni sawa na kilo 4 hadi 5 inategemea na uzito wa mahindi.
 
Mkuu weka bei kwa kilo au gunia la kilo 100..
hicho kipimo chako cha sado sio rasmi..
 
Mahindi ni gunia la kilo mia sado sijui ni nin hicho. Ila uzi wako nimeupenda. Arusha gunia la mahindi sh 100,000
 
Mkuu weka bei kwa kilo au gunia la kilo 100..
hicho kipimo chako cha sado sio rasmi..
Mkuu ni kweli sado si kipimo rasmi ndio maana nikaelezea chini kabisa ya Uzi. Huku wananunua mahindi kwa kipimo hicho na si kwa kilo ila sado moja linachukua kilo 4 au 5 za mahindi inategemea na uzito wa mahindi
 
Umejibu vizuri kwa maana hiyo gunia linakuwa na kg 120
 
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu

Uzi huu ni maalum kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao ili kupeana taarifa za bei za mazao katika mikoa mbalimbali

Mimi naanza hivi

Morogoro tarehe 31/05/2017 wilayani kilosa mahindi mapya yanauzwa sado moja ni kati ya 1000shs mpaka 1500shs na gunia la sado 30 ni 30000/= hadi 45000/=

*sado moja ni sawa na kilo 4 hadi 5 inategemea na uzito wa mahindi.

Bei hizo hapo katika attachment....
 
Attachments

  • IMG-20170601-WA0005.jpg
    IMG-20170601-WA0005.jpg
    88.7 KB · Views: 89
Umejibu vizuri kwa maana hiyo gunia linakuwa na kg 120
Ndio mkuu unajua wakati wa kuvuna huu ukinunua mahindi kwa kilo utaumia kwa sababu wakati huo yatakuwa na uzito ila yakikauka huwa yanapungua uzito kwa hiyo huwa wanapima kwa hicho kipimo ili kuondoa sintofaham hiyo
 
Nahitaji kujua behi ya unga sh ngapi maana naona vyakula havishuki behi wamekaza 1500-9000 per plate hii n kwa dar sijuh uko mikoani
 
Nimelima ufuta wanajukwaa huko kilwa anaejuwa bei naomba kujulishwa kwa sasa niko dar
 
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu

Uzi huu ni maalum kwa wakulima na wafanyabiashara wa mazao ili kupeana taarifa za bei za mazao katika mikoa mbalimbali

Mimi naanza hivi

Morogoro tarehe 31/05/2017 wilayani kilosa mahindi mapya yanauzwa sado moja ni kati ya 1000shs mpaka 1500shs na gunia la sado 30 ni 30000/= hadi 45000/=

*sado moja ni sawa na kilo 4 hadi 5 inategemea na uzito wa mahindi.
Mkuu hayo ya buku buku nikihitaji gunia 30 naweza kukusanya kwa siku tano?
 
Back
Top Bottom