Bei za bales za mitumba

Hukumuzuku

JF-Expert Member
Aug 29, 2008
6,676
5,024
Naomba anayefahamu bei za jumla na rejareja za bales za mitumba za grades tofauti (grades A, B, C) tafadhali anifahamishe. Kama kuna namna mbadala ya ku-calculate bei, mfano Tshs per kg, ningeomba kufahamu pia. Ushuru wake unakuwaje mzigo ufikapo bandarini?
 
Angalia wahindi wasikuchakachue, watakuambia ni grade A lakini kumbe ni kanyaboi(grade D).
 
Back
Top Bottom