Bei ya vinjwaji kwenye viclabu Dar

cocochanel

Platinum Member
Oct 6, 2007
26,768
73,435
Mimi naomba uliza maana hadi leo sielewi.

Niliendaga Level 8 ule mziki wa Ijumaa mara moja sijui kwa mwezi, haya kiingilio kilikuwa 20,000tshs, basi mimi mnywa maji nikaambiwa maji ni ya kilimanjaro yale makubwa sijui ni lita 1.5 au 2 jamani niliambiwa bei ni elfu saba mia tano 7,500 tshs nilichoka mwenyewe ningefanyaje nilinunua na kunywa muda niliokaa pale.

Ila hiyo bei ni ya box moja lenye chupa hizo nyingi nadhani 12 sasa ni sababu ni sad 5* hotel au ni wizi wa muandaaji na maofisa humo na hao wahudumu acha tu na mambo yao lazima ununue vocha kabla ya kupata kinywaji ulipie vocha chenji wabaki nayo.

Haya wee runway sikuamini siku moja nilitaka maji kama kawaida yale madogo ya nusu lita niliombwa shs 1000 nilidhani muhudumu kakosea maana kiingilio kilikuwa 20,000 tshs. Nilifurahia sana

Ukiongea ya Movenpick mmmhhhh nadhani nusu lita ni 3,5000 tshs

Hivi kwanini wanatula hivi, ukiongea bia level 8 ...6,500 tshs ila mie najua tunataka burudika ila mmmhhh!

Mzalendo bei poa vinjwaji huisha haraka.

JE BEI NI HIZO AU WANALANGUA TU AU WANABADILI SIKU ZINGINE?

Shukurani wanajamii
 
Uchumi unasema bei hupangwa kwa demand and supply, maana yake kama unaona wanaendelea kuuza kwa bei hizo kila siku basi kuna watu wananunua, maana kama watu hawanunui huwezi kuona hizo bei.

Labda unakwenda viwanja vilivyo nje ya uwezo wako ndiyo maana unashangaa? Ushajaribu Wapi Wapis Bar na Mkirikiti Bar?

On the real though, Tanzania hamna a sensible pricing structure.
 
hivi kwa nini unaamua kujipa shida zisizo na maana, fedha yenyewe unaitafuta kwa taabu, sasa hata kutumia utumie kwa taabu, dad/kaka-ngu, acha kuiga tembo kuny* utapasuka msamba, achana na hizo kampani, tena mtu mwenyewe wal sio mnywaji,

Chumia juani ulie kivulini na sio uchumie juani na ulie juani
 
what do u expect in a bar @ 5* hotel??? hizo ndio bei zake,hujalanguliwa wala nini.......
 
ahahahahahahaaaa...pole sana aiseee..yani ukanunua maji 7500?..duuu...ingekuwa hainekeni ya moto hapo poa ..ndio si imported bia usd 5... haya mambo ya bei za ajabu ndio yalinifanyaga niwamwage waajiri wangu waliotaka kunipeleka ushelisheli...mie nakunywa bia 10 kila siku mshahara wenyewe unatosha kula tuu...hapo si mateso hayo..kitu cha usd 1500 kwenye mitungi tuu...bado ishu za msosi, malazi, savings, insurances ...arghhhhhh...achana na mi-5* hotels ni kimeo...

piga starehe uswazi kwetu...hiyo 7500 unakuwa tingas la kutosha mwanzo mwisho... ila kiasi flani inawezekana ikawa bei sahihi..maana full kiyoyozi makochi mazuri usafi huduma imetulia unakula bia muhudumu anakulinda...ukiagiza unamiminiwa kwenye glass..raha aisee asikuambie m2.
 
kila biashara wakati inaanzishwa kuna kitu kinaitwa targeted market na potential customers, izo ulizozitaja haziko kwa lengo la wewe mtanzania wa kawaida kwenda pale, ukienda umejipendekeza na ulimbukeni wako, izo bei tena ni ndogo kwa hao walengwa na wanazilipa bila tabu, sawa na mtanzania wa kawaida akale chips kuku pale steers, kulipa ile 12,000/= kama sikosie inaweza kua sio kubwa ila kwa kawaida kwa mtaani utapata iyo chips kuku labda kwa 5000 tu nk wala tusiwalaumu wenye hizo sehem, wakati wanazianzisha mtanzania wa kipato cha kawaida si lengo, kama kulala kempinski ni zaidi ya dola 1000 yaani zaidi ya milioni moja kwa uciku, mtanzania si utaona uwendawazimu kwani hata asilimia 1 ya wafanyakazi wanaolipwa ivyo haifiki!
 
Starehe si adhabu mjomba... njoo uswazi kwetu.. laza za laga ni zilezile tu!! achana na kuuza sura huko!!
 
Labda alikuwa anafwata ushauri wa Mange ili akamnase mzungu.
Natania tu Carrie, dont take it personal. hehehehehe
 
Uzi huu umenikumbusha mbali, enzi hizo nakuja TZ likizo kutoka masomoni na kabla sijarudi nchini kimoja. Wow nimesoma comments za watu, mngeona hata mabilionea wa £/€/$ uuliza bei ndio maana wapo walipo.

Kuuliza sio kwamba mtu umeona bei mbaya na hauna huwezo. Bali ni lazima kushangaa, ila niliendaga tena siku ingine nilijua kagemu na kumbe walinichezea mengi so nilijifunza kuongea bila ma accent ya nilipokulia kimasomo.

Ukiishi na kutofikiria kuwa mtu anakataa kununua goods au services, sababu hana pesa basi wewe hujitambui labda awe amekuambia hivyo.

Re level 8 kama wakati nikiwa nakua sekondari nilicheza music viwanja vikubwa, iweje ukubwani nisicheze?

Nilipokuwa boarding school pia walinzi walitajirika, ule mkoa ulikuwa mtamu kula bata kama mwanafunzi.
 
Hivi coco umekulia nje eeh? Kiswahili chako huwa kinanipa shida saana kukielewa.

It's honest quest.
 
Usipende mambo makubwa ambayo huna uwezo nayo

kaa pahala unapopamudu.

Back
Top Bottom