Bei ya tumbaku ilipandishwa kuvutia kura za wakulima

mbasajohn

JF-Expert Member
Mar 14, 2009
247
39
Mwaka jana(mwaka wa uchaguz mkuu) bei ya tumbaku ilpanda hadi kufikia zaid ya sh 3000 kwa kg karibu mara mbil ya bei ya miaka ilyopita, kiasi cha kvtia wakulma weng zaid kulima zao hl il kjkwamua na maisha magum yanayowakabl, lakn k2 kinachoshangaza na hata kfanya watu waamin kuwa kpanda kwa bei ilkuwa n danganya toto ya kulagai wakulma hawa masikn il wapge kula kuwachagua viongoz waliokuwa madarakan.
Nasema hv kwakuwa mwaka huu baada tu ya uchaguz bei ya tumbaku imeshuka na kurud kule kule kwa miaka kabla ya uchaguz yaan chn ya sh 2000 kwa kg.
Naomba kuwasilisha
 
Back
Top Bottom