Bei ya Toyota Mark X, Verossa na Rav 4

Maundumula

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
7,553
3,070
Habari wana bodi,

Jamani napenda kufahamu bei za magari niliyotaja hapo juu; Mark X, Toyota Verossa na Rav 4 (Kubwa) ya mwaka 2002-2004 kwenye show room Dsm, kama kuna anayefahamu naomba msaada wa kunijuza.
 
Thanks bro, lakini 25-30 si unaweza kupata ki Harrier au ki prado kidogo sio??

Magari yote uliyoyataja ni RA4 ndiyo yenye CC ndogo yaani 2000 the rest 2500, hivyo siyo magari ya kimaskini mkuu. Prado mambo mengine kwa ushuru wa saizi kuanzia 30ml na kuendelea.
 
wakuu je bei ya toyota grandee gx110 inaendaje wakuu!!!??
 
Back
Top Bottom