Bei ya sukari mjini Iringa

Kimbori

JF-Expert Member
Feb 21, 2012
5,450
3,202
Bei ya sukari hapa Iringa Mjini ni kama ifuatavyo:
¤ sukari kutoka Kilombero (Mtibwa Sugar), Morogoro ni 2,300/-
¤ sukari kutoka Brazili ni 1,800/-
SWALI: je gharama za kuzalisha na kusafirisha sukari kutoka Brazil mpaka Iringa ni ndogo ikilinganishwa na gharama za kuzalisha sukari na kusafirisha sukari kutoka Morogoro?
 
LabdayYa Mtibwa iko kwenye kiwango kulinganisha na hiyo fake ya Brazil au hiyo ya Brazil imeingizwa kwa kukwepa kodi. Uchunguzi ufanyike
 
Brazil watu wanakula bata kwenda mbele, maisha yanajali vipato vya wananchi wao! Nimewahi fanya kazi kwenye poultry company, product ya hapa TZ ilikuwa kwenye 5000 per kg while imported from Brazil ilikuwa 2000 per kg! Bila serikali kuweka restriction hali ilikuwa mbaya kwa mzalishaji wa ndani, kinachotuua ni urasimu na kupenda super normal profit.
 
Nahisi kuna tatizo kubwa kwenye mfumo wa kodi kwa bidhaa za ndani
 
Back
Top Bottom