Bei ya rand ya south africa star tv mnatuchanganya!

Mmang'ati

Senior Member
Jan 8, 2011
184
49
Naamini mmefanya makosa japo imeshakuwa cku nyingi tangu mkosee na hamjarekebisha pengine kwa kutegea tuwarekebishe. Bei ya rand (zar) kwa vyovyote haijafika tsh.2000. La mtupe maelezo kuliko kuendelea kutuchanganya. Yahya mohd umo humu Jf tafadhali mpelekee anaedit habari za biashara coz mnapotosha.
 
rand 2000? au typing error labda walimaanisha 200 ingawa nayo sio sahihi maana rand sasa ni sh. 210
 
Back
Top Bottom