Bei ya Mkate Zimbabwe

LeopoldByongje

JF-Expert Member
Apr 28, 2008
372
13
28635_131669936849880_100000206224598_361023_3604339_s.jpg
Mtoto akiwa na Maburungutu ya Zim Dola akienda dukani kununua Mkate mjini Harare
 
nasi hatuna muda mrefu tutakuwa kama wao, unakodi bajaji kubebea pesa za kwenda saluni kunyoa kwa wakaka au kuset nywelw kwa madada
 
Hayo ni mambo ya kawaida sana hasa kwa nchi zetu za kiafrika ambazo zina migogoro ya kutaka madaraka kwa lazima bila kujali wananchi wanateseka kiasi gani.Hapo inawezekana kabisa anaweza kwenda na pesa hizo na mkate wenyewe asiupate.
 
Back
Top Bottom