Bei ya Matrekta na wapi yanapatikana?

Matrector mengi unayo - yaona hapo Ubungo ni kwamba yametokea Pakstani hata jamaa wa Kenya pia wanatoa Pakstani. Kama wewe sio mjuzi wa haya Matrector ni ngumu sana kutofautisha ya UK na Pakstani. Lakini katika Life Span hata ugumu wake Shambani ndio utajua kama www ni mjuzi wa haya matrector. Sio kwamba ninamkatisha tamaa mtu yoyote, La hasha!!!

Matrector haya yoa Pakstani yanafanyiwa Cosmetic ya kutosha kuingia Sokoni. Kilala Kheri. NB: Pata matrecto moja kwa moja kutoka Ulaya, i.e. Uk, France , Holand nk.
 
Wadau!!!

Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?

Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?

mimi nauza matrekta aina zote na kwa bei nafuu kabisa kama ukiitaji hta kwa sasa nipigie au whaysapp kwa nmba hii 0712797413
 
Matrector mengi unayo - yaona hapo Ubungo ni kwamba yametokea Pakstani hata jamaa wa Kenya pia wanatoa Pakstani. Kama wewe sio mjuzi wa haya Matrector ni ngumu sana kutofautisha ya UK na Pakstani. Lakini katika Life Span hata ugumu wake Shambani ndio utajua kama www ni mjuzi wa haya matrector. Sio kwamba ninamkatisha tamaa mtu yoyote, La hasha!!!

Matrector haya yoa Pakstani yanafanyiwa Cosmetic ya kutosha kuingia Sokoni. Kilala Kheri. NB: Pata matrecto moja kwa moja kutoka Ulaya, i.e. Uk, France , Holand nk.
1468005010035.jpg
 
tupo kigogo dar call no 0715 877933
 
Attachments

  • 1468005144867.jpg
    1468005144867.jpg
    62.9 KB · Views: 166
majembe sh 4milion
 
Attachments

  • 1468009864524.jpg
    1468009864524.jpg
    46.9 KB · Views: 183
Masey 290 hiyo bei 40ml
 
Attachments

  • 1468009985232.jpg
    1468009985232.jpg
    62.1 KB · Views: 149
Wadau!!!

Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?

Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?
wasiliana na huyu jamaa anaitwa Sharifu yupo Segerea simu 0654691703
 
kama kuna mtu anajua ana trekta used massey model 275,375 au 165 lenye hp angalau 70 toka ulaya au marekani, nasisitiza lisiwe PAKISTANI au INDIA anitafute kwa namba 0657656693 bajeti yangu ni m23, liwe kwenye hali nzuri kwa kilimo
 
Njoo nikupe kitu safi na salama no 0713 441467
 
Karibu kilimo kwanza upate treckita kwa bei powa 175 massey kwa bei ya 15 milioni no 0715 877933
 
Attachments

  • 1472499089864.jpg
    1472499089864.jpg
    74.4 KB · Views: 150
Wadau!!!

Nina mpango wa kununua Trekta iwe Massey Furgason au Ford. lakini yawe used maana Bdrand New Sitaweza. Kwa hapa Tanzania, nitapata wapi? Na wanauzaje?

Pia jembe lake, Trela na jembe la kupigia halo ni bei gani?

MPIGIE HUYU NDIYE MUUZAJI WA MATREKTA YA AINA HIYO UNAYOTAKA WEWE KWA BEI POA : 0713 300 745
 
Back
Top Bottom