Bei ya matank ya kuhifadhia maji lt 2000 au 3000

Bhbm

JF-Expert Member
Oct 31, 2009
714
208
Wakuu naomba kujuzwa bei ya matank ya kuhifadhia miji ya lita 2000 au 3000, simtank au polytank kama sijakosea. Natanguliza shukurani wakuu.
 
Mim nataka la rangi nyeupe ambalo naweza kuona ndani mwenye nalo tukutane pm
 
Back
Top Bottom