Bei ya mafuta yashuka kwa 54%

Bei ya mafuta huku Bara imezidi kushuka, Dizeli imeshuka na sasa bei ya petroli imekuwa juu kama zamani.

Diesel shs 1440, Petroli 1340/- sijui huko Dar kwenye mtandao wa ufisadi katika biashara ya mafuta hali ikoje wajameni.
 
Ndugu, labda umepitiwa mbona inaonyesha bado petrol Petroli 1340 bado iko chini? ya diesel Diesel (shs 1440)angalia vyema.

Hata hivyo, ni kweli bara bado wanatulangua sana, kwani chini kabisa petrol ni 1500, wakati diesel ni kuanzia 1550 na kuendelea!
 
Yawezekana, mimi nilipitia hicho kitua cha mafuta jana na nikashangaa!
 
Kupandisha bei ya bidhaa kama mikate kwa mfano from 450/- to 750/- hapa mwanza ilikuwa ni kutokana na kupanda kwa bei za mafuta.Sasa mbona hawashushi bei...baada ya mafuta kushuka?
 
Back
Top Bottom