Lucchese DeCavalcante
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 5,471
- 734
This is shocking jana nimekuta bei ya mafuta ya taa ni TZS 1,750 yaani karibia kabisa na bei ya Petrol na Diesel (TZS 1950) kweli maisha bora kwa kila Mtanzania
Bora huko ni bei hiyo, huku kwetu ni 2,000/-