ikhwan safaa
Senior Member
- Jul 24, 2011
- 106
- 29
Kobello umenisaidia sana mungu akubariki na kuongezea leo nimeingia ofisini nimeangalia bei ya mafuta asubuhi iko $79 a barrel.
(1barrell= 158.98ltrs US metric).
1barell = $79.
Hivyo kila litre is equal to 49.7 cents sawa na 797.68 Tshs per litre.
Tax sijui mnaipataje ila tukiweka constant = 797.68 + 540= 1,337
Other costs = 200 = 1,337+200 = 1,557
Tuingize na Transport cost and Insurance and other cost including corruption (kitu sikubaliani nacho) na faida yenu=300 per litre = 1,557 + 300= 1,887 per litre.
Je mnashindwa nini kuuza mafuta kwa Tshs 1,900 per litre?????
Neng'uli sijaelewa wewe ndio consultant au umekopi hizi taarifa kutoka kwa huyo mataalam.
Umesema "Kama wamekosa wataalamu watutafute tuje tuwafanyie Intensive analysis" hebu onyesha huo utaalam hapa kwanza kabla EWURA hawajakupa kazi.
Do something similar to what Kobello has done, though Kobello may not get the figures correct because (probably) he's not in the energy industry as opposed to you.
Unajua Tanzania pamekuwa ni mahali ambapo mfanyabiashara makini hawezi kupachukulia serious tena. Tunatunga sera za uchumi kwa jazba. Tunaona wawekezaji wote ni maadui. Tumefundishwa kuwa bepari ni mnyonyaji, fedhuli, kaburu anayependa kutesa watu!
Nikisikiliza watu kama Kibonde wanavyobwabwaja kwenye redio kuwa Wauza mafuta eti wanajiona wako juu ya serikali, huwa nasikita kuwa huo ndiyo uwezo wa mwisho kabisa wa Watz wenzangu kupambanua mambo magumu.
Hebu jiulizeni, kweli hawa wenye mafuta wanafaidi nini kutokuuza mafuta yao? Wamepoteza mauzo ya wiki nzima. Mabenki yanasubiri hela zao walizowakopa. Massuplier wa Upstream wanauliza watalipwa lini. Prssure zote hizo lakini wanaona ni bora kuliko kuingia hasara hiyo ya 86/= kwa lita. Kweli mnafifikiri hawana akili, au ni kuwa kweli hiyo hasara ni kubwa mno mpaka wanaona ni bora watulie.
Na msisahau, hawa EWURA wanaolazimisha bei feki, wameshapata tozo zao, na zimeelekezwa haraka sana kwenye posho za vikao
Hata Mmachinga unaweza ukabagein naye sana lakini kuna mahali atakuambia "haina maslahi", na atakuwa tayari aondoke na njaa yake kuliko kukuuzia kwa bei unayotaka.
Makampuni yakitoa rushwa yanataka kuifidia kama gharama za uendeshaji?, give us a break please..rushwa wanaombwa wanatoa wote wana matatizo ambayo hawayapi (hayo makampuni) nafasi ya kuuza mafuta kwa bei ya kurusha....
Na vile tusisahau hongo mnazotoa katika kampeni za wanasiasa,
Michango mnayotoa kwenye mahafali ya uchangiaji vyama,
Acheni zenu tunajua mnatengeneza supernormal profit na hamtaki kupata a reasonable profit kwani you are greedy bei ya mafuta imeshuka kushusha bei hamtaki mnakuja na visababu lukuki.
je kati ya serikali hii ya kufikirika na wafanya biashara wa mafuta, je mnaamini kauli ya nani?