Bei ya madawa ya kulevya yaacha maswali

VUTA-NKUVUTE

JF-Expert Member
Nov 25, 2010
6,135
17,800
Serikali inapata wapi bei za madawa ya kulevya kama bangi na cocaine hadi kuutangazia umma kuwa madawa yaliyokamatwa yana thamani fulani? Li wapi soko la madawa ya kulevya hadi bei ya soko kupatikana? Kutaja thamani si kuwavutia wengine kujihusisha na biashara hiyo haramu?
 
Kwani haujui wakuu wa nchi ndio wadau wakubwa wa biashara hii,..............
 
wote ni haohao, ukitaka kujua tabia ya X mwangalie rafiki yake let say Y. wote ni wateja wa unga tu
 
Kiukweli hilo la kutangaza thamani ya madawa SI SAWA,.Hivyo tunakuomba ewe mh Pinda waamuru hao police wako waache mara moja,mana ni kama wanamwagil petrol kwenye moto
 
Serikali yenyewe si inakula unga kwa hiyo inajua bei maana na yenyewe ni mteja wa drug!
 
Ngoja niangalie profile yako maan naona wewe you are atrue greatthinker.
Serikali inapata wapi bei za madawa ya kulevya kama bangi na cocaine hadi kuutangazia umma kuwa madawa yaliyokamatwa yana thamani fulani? Li wapi soko la madawa ya kulevya hadi bei ya soko kupatikana? Kutaja thamani si kuwavutia wengine kujihusisha na biashara hiyo haramu?
 
Lakini labda wanawauliza watuumiwa walio kamatwa juu ya gharama za mzigo walio kamatwa nao? Nafikiri ndio source ya information ila si nzuri kutangaza.
 
Kikwete anaendeleza ngonjera ya madawa ya kulevya.Kinachowavutia waandamwa wote ni bei tu ya madawa hayo....hakuna cha zaidi.Ooooh,haya yana thamani ya milioni 12,oooh haya milioni 56.Kamishna Nzowa please hide the 'bei'..........you kill people.
 
kwani hayo madawa yanalimwa hapa, au yanatolewa nje ya nchi, na wanaoleta wanajulikana na bei wanapanga na wanunuaji, yani kama mkate vile dukani, leo mia tano kesho buku,yani na wauzaji wapo tunakaa nao mitaani mwetu.so serikali kutaja bei,wanaona sawa kwasababu wawekezaji wa madawa na wenyewe wapo kwenye biashara huria.ila bei za kama ununuzi wa dowans,hazitajwi bei,ili nasisi tujue na tujitutumue tununue dowans nyingine zikiuzwa...................................:shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth::shut-mouth:
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom