Bei ya ku HOST website sasa ni Tsh 9,000 kwa mwezi. Kutengeneza website BURE

alphoncetz

JF-Expert Member
May 1, 2011
280
50
Tupo kwenye promotion kubwa katika kutengeneza (Designing) na ku host websites kwa bei rahisi.

Pamoja na kukupa bei rahisi mno ya Tsh 9,000 tu kwa mwezi kwa kuhost website ya aina yoyote!
Lakini bado tunakupa professional hosting features kama ifuatavyo:

40GB disk space
Unlimited email accounts
FTP access
MySQL database (unlimited usage)
PHP
Free domain name (.com .net & .org)
Free website Designing
OR Free website designing software

Wasiliana nasi (Tupo online through working hours - unaweza kutuuliza kupitia live chat)

URL: www.primax.co.tz
Email: info@primax.co.tz
Tel: +255 767659145
 
.. Hii ni habari njema. Malipo yanafanyika namna gan? Kwa miez mingap mingap?
 
Malipo yanafanyika through bank account ya kampuni yetu. mkataba wa malipo ni miezi 12.
NOTE: To build a trust, tunaweza register domain name unayohitaji ikawa online na kukupa FTP account access kabla hata ya kufanya malipo
 
Tupo kwenye promotion kubwa katika kutengeneza (Designing) na ku host websites kwa bei rahisi.

Pamoja na kukupa bei rahisi mno ya Tsh 9,000 tu kwa mwezi kwa kuhost website ya aina yoyote!
Lakini bado tunakupa professional hosting features kama ifuatavyo:

40GB disk space
Unlimited email accounts
FTP access
MySQL database (unlimited usage)
PHP
Free domain name (.com .net & .org)
Free website Designing
OR Free website designing software

Wasiliana nasi (Tupo online through working hours - unaweza kutuuliza kupitia live chat)

URL: Primax Technologies! | Databases, Wireless networks, VSAT internet solutions, Software products
Email: info@primax.co.tz
Tel: +255 767659145
Nitahitajika kuandaa vitu gani ili ku-host web yenye mvuto?nataka kujitangaza kibiashara kimataifa,na vipi nikiwa na habari mpya nikitaka kuiweka inakuaje?
Jee email itakua inatumika kwa muda maalumu au ni muda wote?uwezo wake jee?
 
Unavyohitaji kuandaa good looking website ni taarifa za biashara yako kwa ufafanuzi rahisi lakini webnye mvuto, picha zinazohusu huduma au bidhaa unazotangaza.

Ukiwa na hivyo tunaanza kazi ya designing through easy to use website designing software (works like microsoft word) na kuiweka online

Email account tunazokupa zinafanya kazi muda wote na storage size ya kila email address ni 1gb

Kuhusu website update, unaweza ku update website yako wewe mwenyewe wakati wowote. Baada ya kutengeneza site yako tunakupa software tuliyotumia ku design pia tunakupa source files ambazo unaweza kufungua, ku edit au update na ku upload kwenye server anytime
 
Mimi nataka lakini aanze mtu kwanza hapa tupate ushahidi kama kweli hii sio con..

My brother hii sio con, to build a trust we can discuss deeply na tunaweza register domain name unayohitaji, tuka setup account yako na nikakupa ftp access kabla hujalipa hela. Hiyo inatosha kabisa kuamini its NOT con. Ila wasiliana nami kwanza ili nijue uko serious pia

0767659145
info@primax.co.tz
 
Unavyohitaji kuandaa good looking website ni taarifa za biashara yako kwa ufafanuzi rahisi lakini webnye mvuto, picha zinazohusu huduma au bidhaa unazotangaza.

Ukiwa na hivyo tunaanza kazi ya designing through easy to use website designing software (works like microsoft word) na kuiweka online

Email account tunazokupa zinafanya kazi muda wote na storage size ya kila email address ni 1gb

Kuhusu website update, unaweza ku update website yako wewe mwenyewe wakati wowote. Baada ya kutengeneza site yako tunakupa software tuliyotumia ku design pia tunakupa source files ambazo unaweza kufungua, ku edit au update na ku upload kwenye server anytime
So hii yote ni free but natakiwa kulipa only tsh 9,000x12months?Vp kama nikiamua kulipa miaka 3-5?
 
elfu tisa kwa mwezi nyingi, si tunalipa 20 kwa mwaka

Kikubwa tunachoangalia kwenye web hosting ni features unazopata halafu ndio bei inafuata. Unaweza pata hosting hata bure lakini hutopata features hizi ambazo tunatoa.

Pitia vizuri posts nilizojibu wadau wengine angalia all the features we offer
 
So hii yote ni free but natakiwa kulipa only tsh 9,000x12months?Vp kama nikiamua kulipa miaka 3-5?

Only 9000/month, all other features are free.
Contract inaanzia 12 months kuendelea so unaweza lipia muda wowote ule 2yrs, 3yrs Etc
 
Thanks very much mkuu,im very interesting na ntakutafuta muda ukiwadia.
But need to know more.
Vp kuhusu maandishi?I mean lugha itakayotumika itakua kazi ya nani kuweka?ningependa kutumia English and Swahili becouse nataka kufanya biashara ndani na nje!!
 
Kama ni pages chache tunaweza translate both languages depends aina ya website kama ni complex au itakuwa na tons of pages hapo nitashauri kupata muandishi ambaye ataandaa page zote kwenye ms word kabla hatujaziweka online
 
Thanks mkuu.
Ntakutafuta kwa maelezo zaidi maana nilikua natafuta hii info za hii kitu for long time aise!
 
Back
Top Bottom