Bei ya kitimoto yashuka

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,488
86,005
habari njema kwa sisi watumiaji wa ile dawa ya tumbo.....bei yake imepungua hadi kufikia 3900 per Kg... najaribu kufanya sababu zilizopelekea bei kushuka kiasi hicho hasa katika kipindi hiki.
 
habari njema kwa sisi watumiaji wa ile dawa ya tumbo.....bei yake imepungua hadi kufikia 3900 per Kg... najaribu kufanya sababu zilizopelekea bei kushuka kiasi hicho hasa katika kipindi hiki.

kwani ilikuwa shs ngapi?
 
habari njema kwa sisi watumiaji wa ile dawa ya tumbo.....bei yake imepungua hadi kufikia 3900 per Kg... najaribu kufanya sababu zilizopelekea bei kushuka kiasi hicho hasa katika kipindi hiki.

Si unajua tena kuna mfungo? Kaaazi kwelikweli!
 
......na pia idadi ya kitimoto imeongezeka, kwa hiyo kuna competition sokoni.

Si kweli. Wanyama wamepungua sana kwa wafugaji kutokana na kuongezeka kwa walaji visiwani. Sababu kuu ya kupanda bei ni kuwa watumiaji wake wakuu wamekwenda kwa Ramadhani, ni kipindi cha wale wenye cash pungufu kuenjoy maana jamaa wakitoka huko kwa Ramadhani watakuwa na usongo sana na ni lazima bei itafika tsh 6000.
 
habari njema kwa sisi watumiaji wa ile dawa ya tumbo.....bei yake imepungua hadi kufikia 3900 per Kg... najaribu kufanya sababu zilizopelekea bei kushuka kiasi hicho hasa katika kipindi hiki.

Sababu zipo wazi............
1. Demand imeshuka........
2. Walaji walioruhusiwa na imani zao huwa wanakula kidogo sana............ walaji wakubwa kisirisiri........huwa wanaikamata kwa kiasi kikubwa mno............... hivyo kupungua kwao you must imediately see yhe gap.
3. Supply ya hiyo kitu imeshuka ili kumarch "current users"............. kama huamini ngoja siku ya Eid uone the opposite of it.........
4. Hiyo kitu kwa sasa inauzwa sana kwenye mitaa iliyojificha.......maana bale bandugu huwa hawapendi kuonekana wala kuitwa majina yao halisi maeneno hayo............ Ndiyo maana huku kuliko wazi bei inashuka.....HASA BAADA YA SAA KUMI NA MBILI NA NUSU YA JIONI YA KILA SIKU YA MWEZI "MTUKUTU"

3.
 
Mi imeniboa maana hapa pale kitimoto centre nilipokuwa napata mifupa ya mbwa siku hizi sipati. Kisa... wateja hamna, mifupa imepungua hivyo yote anachukua mama mwenye kijiwe...
 
Njoo kigogo mabuchani 3500 wacha huko kg 3900 ......sasa na wale wa nyumba za wageni wanaolalamika sijui tutawasaidiaje??anyway naamini watavumilia pia
 
naamini malaria sugu lazima atakuwa na cha kusema ikiwemo kutusaidia majibu hapa jamvini....................uko wapi malaria jamani????
 
naamini malaria sugu lazima atakuwa na cha kusema ikiwemo kutusaidia majibu hapa jamvini....................uko wapi malaria jamani????

mmh huyu anailia daku usiku unahisi ataonekana hapa??
 
Back
Top Bottom