bei ya gari la kuzoa taka

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
wadau wa jf naomba mnipe info kuhusu wapi nitapata na kwa bei gani GARI ya kufanyia kazi ya kuzoa taka kwenye kata moja dar. wadau najua tunaweza kusaidiana kwa mambo mengi. kwa huu mkataba nilioupata nahakika mtanisaidia kujua bei ya gari la kukodi ambalo lipo katika hali nzuri, na lisiwe linafanana na taka zenyewe.mwenye magari hayo au anayejua yanapatikana wapi na kwa bei gani kwa siku au kwa mwezi naomba ani PM.
 
Jaribu kuuliza katika ofisi ya Afya katika Manispaa, wao ndio wasimamizi wa usafi katika kata hivyoi wanaweza kukupataarifa au mwangaza wa kupata gari unayoitaka.
 
tafuta yale malori ya kubebea mchanga,hayo ndo yanafaa zaidi na upatikanaji wake ni rahisi.
 
Back
Top Bottom