Bei ya frem kariakoo kwa ajili ya kuuza nguo za jumla na rejareja

Wenger

JF-Expert Member
Nov 8, 2010
472
265
Heshima mbele wana JF,
Naomba kufahamishwa kwa anayejua bei ya frem zilizo location nzuri kariakoo nataka kuanzisha biashara ya nguo kamtaji kangu maxmum ni Tshs 25,000,000.
 
Bei ni 800,000 ulipe kwa mwaka na Tra ukalipe wewe kodi ya mapato na withholding tax, yeye hana shida kwani wewe ndo unahitaji ili uprocess leseni na other business docs from Tra.
 
ndugu yangu hatuna serikari kama tungekuwa nayo ingetutetea au tungeenda kulalamika, yaaani bei ya frem usipime laki 5 mpk 9 hapo bado ushuru. sasa kwa huo mtaji uliousema . sjua i jaribu unaweza bahatisha ukapata bei nzuri
 
Back
Top Bottom