Bei ya flame za maduka

SMS
MKOKO KWENDA 15544 watakusaiidia zaidi hapa wengi wanasikiliza nani anaingia mjengoni DOM

Siyo kweli hapa wengine hata hizo issue za mjengoni hatuzisomi, tupo interested kwenye business. Maana hata hao wanaotaka kwenda mjengoni ni katika kutafuta tu.
 
Kitu nilikuwa nacho ndo maana nikachangia ungeweka wazi hapo juu kuwa wewe nikijana unataka labda kufanya biashara watu tungekusaidia lakini huweki wazi lakini kama unataka fremu k.koo bei yake inalala kuanzia laki 4-6,7 inategemea na mtaa ukizunguka maeneo ya sinza unakamuliwa kuanzia laki 2-4 na kwendelea inategemea position ya fremu pamoja na biashara unayo taka kuifanya. Bei hizo ni kwa mwezi malipo unalipa kuanzia miezi kumi na kwendelea wachache wanapokea miezi 6 lakini wengi wanakwepa usumbufu wa kusumbuana kodi wanakukamua kodi ya mwaka mzima.
asante mkuu fideli kwa mchango wako mzuri,,usijali tuko pamoja..

peace love...
 
Nimesoma mpaka hapa Topic ilipofikia sijaona aliyempa mawazo bwana Marandu2010 .. msaidieni mwenzenu kimawazo kama mjuavyo JF ni kijiji haijalishi kama pesa yake ni kiinua mgongo or Bingo ya Voda,Tigo ,Zain au Zantel.
 
nashukuru first lady kwa kunisapport,isitoshe hainisaidii mimi pekee,,kuna watu wengi wanazihitaji hizi habari,,ikiwa tutatumia nafasi hii kulumbana na kupingana tutakuwa tunajirudisha nyuma sisi kama wanajamii badala ya kujisogeza mbele.

thank you once again first lady..
 
Ni lazima i kumpanua mawazoili kumuweka sawa afanye uamuzi sahihi. Bei za fremu zinarange kuanzia 150,000 mpaka 1,000,000 kwa mwezi kutokana na size na location. Depending on what marandu2010 anataka kuuza, wafanyabiashara wengi wanapendelea Kariakoo ambako fremu zinacost 1,000,000 kwa sababu ya wingi wa wateja. Wakidishaji wengi wanapendelea kodi ya mwaka mzima, plus kodi ya mwezi mmoja ya dalali maana Dar madalali hawaepukiki!
 
asante sana ambassador kwa mchango wako mzuri.
 
Back
Top Bottom