Bei ya Diesel chini, Nauli bado palepale

Nauli kama kawa iko pale pale.., hii ni bongo mkuu. Habari ndio hiyo.
 
Ssa hivi serikali iko kwenye road licence, income tax, insurance nafikiri bado kuangalia mustakabali wa mafuta kushuka bei. Ni awamu kwa awamu ngazi kwa ngazi. Don't you know that our Government is a government of precedent. Ufisadi kwanza then mafuta baadae. Hata huzima moto baada ya nyumba kuungua yote na hivyo kupoteza hata mafuta ya gari ya fire brigade
 
Hivi bei ya sasa diesel ni shilingi ngapi? I wonder kama punguzo la bei ya mafuta duniani linalingana na punguzo la bei ya diesel
 
Back
Top Bottom