Bei ya dhahabu imepanda kwa 30% kwenye soko la dunia

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,385
Bei ya dhahabu imepanda katika soko la dunia leo na kuwa dola 1900 kwa tola moja ya wakia ikiwa ni ongezeko la asilimia 35 tangu mwanzoni mwa mwaka huu. wataalamu wanasema kuwa itapanda hadi kufikia dola 2000 kwa tola moja hadi kufikia mwishoni mwa mwaka huu
my take:Tanzania inafaidika? kivipi?
source/:DW
 
thankx for your comment. we need people like you in leadership.
sasa waulize wanohusika katika kusimamia mapapo migodini uone utakacho jibiwa.
 
Back
Top Bottom