Bei Poa Kupiga Simu Kwenda Tanzania Kutoka Nchi za Nje kupitia UmojaPhone?

Ujumbe huu ni mzuri kwa jamii

  • Ujumbe nahitaji ufafanuzi zaidi

    Votes: 0 0.0%
  • Ujumbe umeeleweka vizuri

    Votes: 0 0.0%
  • Ungependa na watu wengine wajue kuhusu hii huduma

    Votes: 0 0.0%
  • Hukuelewa ni juu ya nini

    Votes: 0 0.0%

  • Total voters
    0
  • Poll closed .

Majengoe

New Member
Nov 3, 2011
2
1
Siku kadhaa niliona hii kitu nasikia ndio wanaotoa bei ya chini ukilinganisha na makampuni mengine, nimejaribu na kuona kweli bei zao poa hasa kupiga simu kwenda Tanzania ni bei poa sana na mawasiliano simu ni moja kwa moja bila kurudia rudia. Kuna mtu mwingine ameshawajaribu tena ni ya watanzania wala si ya wakenya kama ilivyodhaniwa. Watanzania hatuko nyuma kiasi hicho.
 
Ukienda kwenye site yao ya umojaphone.com utaona wanaonyesha kuwa wanapatikana karibu nchi zote duniani na wanatoka huduma ya support masaa 24 nadhani wamiliki wako USA na nchi nyingine sina uhakika.
 
Back
Top Bottom