Bei palepale despite marekebisho kwenye bajeti

Makame

JF-Expert Member
Jan 3, 2008
512
60
[h=6]Hebu niwaulizeni enyi wana Siasa, wasimamizi wa fedha (finance management specialists), wadau wa kodi na walaji - Hivi inatia akili kweli kusikia Serikali ikitangaza mabadiliko, kama ya punguzo la kodi, misamaha ya kodi, ondoleo la kodi kwenye baadhi ya bidhaa, then bei za hizo vitu zikipaa kwa kisingizio cha exchange rate na inflation[/h]
 
Ubwege wetu na ukimya wetu ndio unaotutesa.
Tunaona bei za mafuta zinapanda licha ya kuondolewa kwa kodi nyingi, lakini bado tumekaa kimya.
Tuamke na tuingie mtaani kwa maandamano ya kushinikiza kushuka kwa bei ya mafuta.
Ewura imekufa na kamwe haina msaada kwa mlala hoi, ipo kwa ajili ya kuwaneeemesha wafanyabiashara wa mafuta, wahindi na waarabu
 
Ukisikia serikali legelege ndio hii ya JK. Inafanya maamuzi haiwezi ku-enforce...
 
Back
Top Bottom