Bei mpya za Internet Bandwidth za TTCL, 45,000=/ kwa mwezi

Hawa jamaa wa TTCL sio wakweli kuwa gharama yao ni T.SHS 45,000 kwa mwezi kwani hawana kadi za shs. 5,000 kwahiyo unapokwenda kulipia wanakwambia utoe shs.50,000 kwani hawana kadi za shs 5,000!! Huu ni utapeli wa mchana kweupe. Kama walijua hawana kadi za shs 5,000 kwanini waliweka bei isiyoendana na kadi wanazouza? Kuna umuhimu wa hawa jamaa kurekebisha kasoro hii ama sivyo waseme tu kuwa charge yao ni SHS.50,000 kwa mwezi.
 
wakuu tupatieni majibu,ambaye amenunua hii, vp speed ni nzuri? ni unlimited kweli kwa maana ya dowload na uploads mpaka uchoke? tafadhali
 
Wakuu,
Tusijidanganye kuwa kwa tsh 45,000/= ukapata connection ambayo sio limit, itakuwa ni maajabu ya mwaka kwa kampuni ya kifisadi kama ttcl kutoa huduma kama hiyo!.Tusubirie tuone kama kuna ukweli wowote kwa huduma hii.
 
kwani kuna kitengo cha sales and marketting ttcl? i doubt km kipo,kwani km kipo basi ni extremely dormant, kwanza hawajui kitu inaitwa competition na wakimbizane nayo,wanajipangia tu ,mambo km vile tupo 90's rudi nyuma, au kuna ruzuku za govt pia?
 
Wewe carth it is possible hiyo connection kuwa 45000 kwa mwezi!
Firstly kwasababu ya hiyo internet ya chini ya maji ya seasomimepunguza! pricing za TTCL
Secondly inawezekana kama hiyo connection ni shared! na sio dedicated
Obviously ni shared mimi i think mpaka sahivi that ni unlimited!check there website hapohttp://www.ttcl.co.tz/broadband_pricing_home.asp inaonyesha that what is Shared is the speed! sasa mimi Nauliza mtu yoyote aliokuwa nayo that Download/Upload speeed yao ni ngapi?
 
HAKUNA cha unlimit wali nini mambo yote ni limit, unapewa 2.5 GB kwa mwezi.jamaa yangu aliye jiunga juzi ndiye amenipa habari hii,mwenyewe aliambiwa hakuna kikomo yeye kwa kutoelewa akaanza kupakua madude yake online,jana anashaanga hakuna connection kuwa pigia jamaa waka mwambia "umifikia kiwango chako cha mwisho ili kuendelea kupata huduma ongeza salio la 45000"
 
What the https://jamii.app/JFUserGuide 45000 for 2GB????DAMN MAN! mimi ninadownload like every months 20gb! kwenye unlimited ya BOL! but speed ya BOL ni ndogo compared to Selcom ni nzuri speed yao! unalipia 35000 shs kwa mwezi halafu unlimited!
 
Mmh, elfu 35000 unlimited ! Nadhani utakuwa na speed ya download 15 kbps upload 5 kbps.But sio mbaya kwako.
 
Mmh, elfu 35000 unlimited ! Nadhani utakuwa na speed ya download 15 kbps upload 5 kbps.But sio mbaya kwako.
 
Ni kweli ni Unlimited, ambayo inakuwa mna share Bandwidth ya 256 kb/s. Gharama za kujiunga ni tsh 96000,kwa sasa unapaswa kulipia tsh 50,000 kwani bado hawajatoa voucher za elfu 45000,Baada ya mwezi mmoja watatoa voucher ya elfu 45000.
Baada ya siku tatu nitawajulisha speed yake iko je maana nimejaza fomu zao za maombi leo,nategemea kesho watakuja kunifungia mtandao.
 
Kwa sasa ni Tsh 30,000 kwa 1GB kwa mwezi. Kama speed itakuwa nzuri si bei mabya
 
Wana JF,

Mimi nahitaji internet connection kwenye nyumba yangu hapa Dar. Kwa habari ambayo imetolewa tayari, naona inanichanganya na sijui ni service provider yupi ni mzuri. Mimi nahitaji internet kwa ajili ya skype ili mteja wangu awe anatumia kuwasiliana na familia yake ambayo iko mbali na yeye. Tafadhali tupeni data za uhakika ni service provider gani anafaa ili niweze kufanya informed decision.

Tiba
 
Je haya mambo ya sh. 45,000/= ni applicable hata huku mikoani mimi nipo mbeya tuwekeni sawa ili hata sisi tuweze kujiunga
 
Back
Top Bottom