Behind the scene-El apata 'ngeu' huko arumeru

Hao ni wameru bwana hawapakagi inna na hawaogopi chochote wal mtu yeyote. Hata serikali ya baba riziwani inalijua hilo. Wasambaa wanausemi usemao kama mbwai ni mbwai.
 
Ndie chanzo cha vurumai kwa vjn hawakuta kumuona lowasa akielekea kwenye halmashauri waki amini kwamba ataiba kura,pia kwenye vyombo vya habari polisi walipotosha ukweli kwa kusema gari lililopigwa nila RPC
 
naona hii ilipangwa kuficha aibu.
 
mkuu ilitokea usa eneo la kutangazia matokeo.vijana walipojua ni EL walitaka'' kumuharibia'' pale pale

Hata mimi hii taarifa niliipata baada ya matokeo kutangazwa kuna rafiki zangu wawili walikuwepo kwenye tukio hilo ila kwa kuwa ni aibu hii ilifichwa kuna matukio mengi sana yalitokea ila haya utilities.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom