Behind the scene-El apata 'ngeu' huko arumeru

Jackbauer

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
6,038
2,199
Ilikuwa yapata majira ya saa sita usiku wa kuamkia tarehe 2/4/2012 maeneo ya mamlaka ya mji mdogo wa usa river, mvua inanyesha huku vijana wakiimba nyimbo ya msiba maarufu kama ''parapanda litalia''
ikiwa ni sehemu ya kupeana hamasa na ujasiri wa kusubiri matokeo ya uchaguzi mdogo jimboni arumeru.

hapa ndipo taharuki ilipoanza,vijana wakaanza kusukumwa huku na huko kupisha njia EL apite.

Kutahamaki!! vijana wakaanza kushambulia gari la EL.
EL akadondosha handgun yake,gari lake likavunjwa kioo cha nyuma na yeye kupata majeraha-ngeu.
Polisi wakaanza kurusha risasi za moto,mabomu ya machozi na kutembeza virungu na hatimaye kufanikiwa kumtorosha.

Shuhuda wa habari hii anauguza mguu wake uliopigwa bomu la machozi na kumuacha uchi kama alivyozaliwa.

My Take:viongozi msipende kuwaprovoke vijana wasio na ajira!wanaweza kuwadhuru!
 
Habari haijakaa vizuri kuweza kuaminika

Kumpiga mawe Lowassa sio habari ndogo na sidhani kama ingepita kirahisi na kisha kuibuka kama tetesi
 
Mbona habari hii haina mshiko?
Ilitokea lini?
Sehemu gani?
Kuna waliokamatwa?
Mbona hakuna taarifa ya polisi?
Hao vijana walichokozwa vipi?
Kazi kwako mtoa habari
 
Habari haijakaa vizuri kuweza kuaminika

Kumpiga mawe Lowassa sio habari ndogo na sidhani kama ingepita kirahisi na kisha kuibuka kama tetesi
hata mimi imenipa tabu kuiamini.kwa wale walio karibu naye wanaweza kuthibitisha.
 
Mbona habari hii haina mshiko?
Ilitokea lini?
Sehemu gani?
Kuna waliokamatwa?
Mbona hakuna taarifa ya polisi?
Hao vijana walichokozwa vipi?
Kazi kwako mtoa habari

mkuu ilitokea usa eneo la kutangazia matokeo.vijana walipojua ni EL walitaka'' kumuharibia'' pale pale
 
Habari haijakaa vizuri kuweza kuaminika

Kumpiga mawe Lowassa sio habari ndogo na sidhani kama ingepita kirahisi na kisha kuibuka kama tetesi
kama uko arusha unaweza kuisikia kila unapopita!ulitaka TBC watangaze ndio uamini?
 
It's true kwamba vijana walishusha vioo vya gar yake kama movie flan hivi
 
Habari haijakaa vizuri kuweza kuaminika

Kumpiga mawe Lowassa sio habari ndogo na sidhani kama ingepita kirahisi na kisha kuibuka kama tetesi
kuna mambo mengi sana yaliyotokea na hayajaibuka hapa,,,,kwa mfano Chitanda alikamatwa na sanduku la kura feki likachomwa moto on the sport na vijana waliokuwa wanalinda kura.
 
Kwani hamna aliyeweza kufotoa? Hiyo habari ya kupigwa gari hata ITV waliirusha siku ya uchaguzi but walisema gari ya polisi
 
Jamani Ni kweli kabisa gari yake ilipigwa mawe usiku ule akienda kumtetea mkwe. Ole medeye almanusura fimbo impate akakimbili choo cha shule
 
Sio lowasa tu alipata kichapo usiku ule wa tar 1-2....wapo rco.chitanda,malisa
 
Hizi habari si mpya habari zinasema vijana walilizuia gari la lowasa wakitaka kujua limebeba nini ndipo dereva wake akatoka na bastola na kupiga risasi juu na vurugu zikaanza vijana wakarusha mawe kulishambulia gari la mhe. askari wakajibu kwa mabomu ya machozi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom