Behind every successful man, there is a wise woman

Sio inategemea.... Every wise woman has a very steady home, relationship and family!!!

Yes, but she is better alone than under a stubborn husband. Wanaume wengine wabishi kiasi kwamba wanadumaza maendeleo ya familia.
 
We should learn to live solitary life! Independent men and women are successful as they work for their ambitions and visions!
Kwa hiyo una advocate for single parents?? Sio kwamba ni vibaya naulizan tu sababu if you can why not.
 
Mkiwa hamna anakua mpole na adabu tele, ukimpa idea ikakubali anakuficha maendeleo anajiona kidume cha impala wanawake 30 kidogo. Kwa wanaonelewa nikweli kabisa hilo ulosema.

Ni kweli kabisa unachosema, nakubaliana na wewe kwamba wanawake ni wavumilivu sana na wanavumilia mengi.... Lakini kinachosikitisha hiki kizazi cha sasa kina dada wachache wenye uvimilivu kama uliosema hapo juu; wenyewe ndio kwanza watakuwa wanadai muishi beyond your means.

Lakini walisema "Aint no Sunshine, Till its Gone..." Heri hao wanaume wenye wake wenye Busara wanaowachezea wangepata wanawake viruka njia ndio wangejua ni nini walichonacho labda ndio wangekithamini
 
Wadau mimi nakubaliana kabisa na usemi hapo juu (ukibahatika kupata mwenzako mwenye Busara) basi ni msingi mkubwa wa maendeleo……… Na Opposite pia ni kweli Kama mwenza hafai hata ufanyeje hautafika popote……

Kwahiyo kina dada wenzetu…. tuache kulaumu kwamba huyu jamaa yangu hafai… huenda wewe ndio tatizo…… au hata kama ni yeye wewe unauwezo wa kumuweka katika mstari ulionyooka (athough uenda akawa hana shukrani akinyokewa akakutosa)

Kumbuka ingawa wanasema a Man is the HEAD of the Family…. Lakini Pia wanasema Mwanamke ni Shingo na ana uwezo wa kumgeuza mwanaume.

Mkuu kwangu mimi naona behind every successful man there is a surprised woman
 
Yes, but she is better alone than under a stubborn husband. Wanaume wengine wabishi kiasi kwamba wanadumaza maendeleo ya familia.
Gender yako tafadhali na hii wengi inawakilisha asilimia ngapi na study yako umeifanyia wapi?
 
Mkuu naomba ufafanue kidogo, yaani ni kwamba huyu dada atakuwa anashangaa maendeleo yako au?

Ngoja niwe makini kwenye ufafanuzi wangu! Kuna baadhi ya wanawake are always mean on their opinion kwa waume zao. They do not believe wanachopanga waume zao kitafanikiwa kifupi they do not expect much from their hubbies, Ukifanikiwa huwa wanashangaa maisha yao yote ingawa mwanzoni walikuwa wana crash ideas. Ni usemi tu huu kuna ukweli lakini.
 
Mhh mwanaume anaefanikiwa ni yule aliye ambitious na mtaftaji haswaa,ht km wife galasa ye yumo,ukipata a man ambitionless unafkr utambadilisha??
 
Wadau mimi nakubaliana kabisa na usemi hapo juu (ukibahatika kupata mwenzako mwenye Busara) basi ni msingi mkubwa wa maendeleo……… Na Opposite pia ni kweli Kama mwenza hafai hata ufanyeje hautafika popote……

Kwahiyo kina dada wenzetu…. tuache kulaumu kwamba huyu jamaa yangu hafai… huenda wewe ndio tatizo…… au hata kama ni yeye wewe unauwezo wa kumuweka katika mstari ulionyooka (athough uenda akawa hana shukrani akinyokewa akakutosa)

Kumbuka ingawa wanasema a Man is the HEAD of the Family…. Lakini Pia wanasema Mwanamke ni Shingo na ana uwezo wa kumgeuza mwanaume.

this is veeeery, veeery true! kumpata sasa huyo wise woman shuhuli mwenzangu! akishajua yeye ni wise, na wewe umeshamtambua kwamba yeye ni wise, na unamtaka, utafukuzia hadi soli iishe. mie kuna mmoja nafukuzia sasa hivi lakini da...shuhuli peeevu.
 
Back
Top Bottom