Simulizi: Before I die

Muwe na shukrani nae ana kazi zake za kufanya tofauti na jf mtu anajitolea tu je angekua anatodha hela ingekuaje tuwe wastaarabu
Umeelewa nilichoandika mkuu? Nimeongelea kwa ujumla ambao una akisi ukweli, "riwaya nyingi za JF kuishia njiani ni jambo la kawaida na wala hupaswi kushangaa". Hivyo basi hii nayo inaweza ikaisha au ikawa kinyume chake kulingana na mazingira anayoyaona mwandishi.
 
Alishasema baada ya week 2 ataendelea kuna malekebisho yanafanywa
 
Muwe na shukrani nae ana kazi zake za kufanya tofauti na jf mtu anajitolea tu je angekua anatodha hela ingekuaje tuwe wastaarabu
shukrani sana mkuu na hongera kwako. tatizo ni kuwa kwa sie wengine mda huwa unatukaba sana. mbona hii story nimeiachia sana hata ya penieli nayo speed yake ilikuwa sio ndogo kwa siku lazima niachie sehem 10 .wakati ile ya dany kule kwa wiki nzima hazifiki hata sehem 5? hata ningeamua kuweka kila siku sehem 1 hiyo ya peniel ingekuwa bado sana mbichi .lkn huwa najitahidi ninapopata mda naweka sehem nyingi nikiwa na maana
 
hahaha mkuu mbona kasi yangu ni yakimwendo kasi sanaaa
Ni kweli speed yako iko juu ila sasa tatizo ni mtu ukishamaliza hamu ya kuendelea kuisoma yaan ata dk tano inakuwa ni shidaa,ila asante sana kwa stories zako izi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom